cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Hapo chini ya hio screenshot kwenye redline mwaka 2006 huo, walikuwa online ni Nyani Ngabu ,JokaKuu na we ngine.
View attachment 3204314
Kipindi hiki Nilikuwa guest tu najiuliza hii ya Kenyans au Tanzanians
Then nikapekua nikajua ya TZ
Nikapotea na kurudi tena na kujiunga nilipo ona inaendelea poaaaa nikajua hapa patamu pa kujiunga