Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Kwa sisi weusi ili uonekane wewe ni mpambanaji lazima kwenye hadithi zako ziwemo zile sentences za maisha fulani magumu from scratch mtu mwenye aliyepewa mabilion na wazazi tz anadharaulika kuliko mtu aliyeanzia matopeni
Sasa tutoe hiyo fikra ya kuonekana wapambanaji mbele za watu na tuishi maisha yetu wenyewe
 
We
We mwenyewe kumbe dogo tu. Watu tuna hotmail 98. Umetumia windows at 95? Mac enzi hizo zinaandikwa macintosh. Ustishe watu dogo.
 
Matunda cafe Morogoro
Computer no 14
 
Kipindi hiko tuna access ya internet na computer zipo Ghetto , inabidi wawe na heshima aisee... miaka hio kumiliki computer au una ufahamu kuhusu TEHAMA unakwenda internet cafe inabidi tupewe heshima...
Aah Mkuu! Mbona mimi nina 32 na kipindi hicho computer home ilikuwepo na nimeichezea sana?! 😃

Na mimi nipewe heshima yangu?! 😁

Kwenye computer nilikuwa nacheza game ya Need for Speed na ile game risasi zikiisha inasema "Reload" "Reload" nimeshaisahau. Na game ya kufundisha kuzoea herufi za kwenye keyboard kwa haraka.

Ila umenikumbusha mbalii! Kipindi hicho nilikuwa navheza PS hatari!
Game ya super Mario, God of Hand, God of War, Motor Kombat, Tomb Rider, Grand Theft, Tekken Tag, Harry Porter n.k 😃

Kulikuwa na mwamba mmoja hivi alikuwa anasoma shule moja na brother alikuwa ni jirani yetu.

Mshikaji chumbani kwake alinunua vyombo vya kurekodia mziki, alikuwa anatengeneza biti!

Nicheke kwanza nisiendelee!!!

Ha....ha...hahaha!
 
2007 nilikua kijana mtanashati mwenye miaka 11 nasoma darasa la 4 na ninapendwa na Jackline mtoto wa mwalimu wa maarifa ya jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…