Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Uzi unatembea sana.. hahahahhh
Dah tunakumbushana kipindi cha kidalipo Mr. Nice, ENZI hizo msukuma mwenzangu Dudu bad Dudu baya hashikiki, akaja QChief, akaja TID, (hawa jamaa wamenifundisha kitu kwamba unaweza ukashika pesa nyingi ujanani lakini kuzimantain hadi fourties ni kitu kingine kabisaπŸ™Œ nihapo ngoma ya Bob rudala - 'nimekuchagua ispopigwa kwny sherehe hyo sio harusi
 
Hatari mwanawane ujana maji ya moto...tumia pesa lakini angalia ya mbeleni.
Vija a kuweni makini maisha ni kupanda nankushuka ila sasa ukiwa juu hakikiksha anguko lako haliwi kubwa
 
Hio harusi ilikuwa UK... hapo inapigwa ngoma ya Bob rudala...hahhaahahaaahh ...Leicester hio..
 
Hatari mwanawane ujana maji ya moto...tumia pesa lakini angalia ya mbeleni.
Vija a kuweni makini maisha ni kupanda nankushuka ila sasa ukiwa juu hakikiksha anguko lako haliwi kubwa
Yan kuna watu braza ni nawaona hadi machozi yananitoka kina O-Ten mzee dahπŸ€”Daz baba, Yani life At 40 linaweza kuwa maumivu makali ya majuto
 
Hio harusi ilikuwa UK... hapo inapigwa ngoma ya Bob rudala...hahhaahahaaahh ...Leicester hio..
Bado kuna ngoma papi kocha na mdingi wake, - seya lile nalo baba πŸ˜…Yan mule mule, Leo brother Jose chameleon anaugulia, brother prof Jay still bado hajatengamaa vizuri
 
www.zeutamu.com 2007/8/9/10
 
Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…