Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Uzi unatembea sana.. hahahahhh
Dah tunakumbushana kipindi cha kidalipo Mr. Nice, ENZI hizo msukuma mwenzangu Dudu bad Dudu baya hashikiki, akaja QChief, akaja TID, (hawa jamaa wamenifundisha kitu kwamba unaweza ukashika pesa nyingi ujanani lakini kuzimantain hadi fourties ni kitu kingine kabisa🙌 nihapo ngoma ya Bob rudala - 'nimekuchagua ispopigwa kwny sherehe hyo sio harusi
 
Hatari mwanawane ujana maji ya moto...tumia pesa lakini angalia ya mbeleni.
Vija a kuweni makini maisha ni kupanda nankushuka ila sasa ukiwa juu hakikiksha anguko lako haliwi kubwa
 
Hio harusi ilikuwa UK... hapo inapigwa ngoma ya Bob rudala...hahhaahahaaahh ...Leicester hio..
527735_10151067390136817_115224939_n.jpeg
 
Hatari mwanawane ujana maji ya moto...tumia pesa lakini angalia ya mbeleni.
Vija a kuweni makini maisha ni kupanda nankushuka ila sasa ukiwa juu hakikiksha anguko lako haliwi kubwa
Yan kuna watu braza ni nawaona hadi machozi yananitoka kina O-Ten mzee dah🤔Daz baba, Yani life At 40 linaweza kuwa maumivu makali ya majuto
 
Hio harusi ilikuwa UK... hapo inapigwa ngoma ya Bob rudala...hahhaahahaaahh ...Leicester hio..
527735_10151067390136817_115224939_n.jpeg
Bado kuna ngoma papi kocha na mdingi wake, - seya lile nalo baba 😅Yan mule mule, Leo brother Jose chameleon anaugulia, brother prof Jay still bado hajatengamaa vizuri
 
View attachment 3204285
Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje..

View attachment 3204286
Hii marafiki, juu hapo kuna kitangazo cha Buzz, miaka ya 2005/2006 kama sijasahau... mwanzoni iliitwa darchat kama sijasahau... watoto wengi humu kipindi hiki mnajisaidia kwenye nguo... kwa kipindi hiko hii ndio ilikuwa kama tinder sasa, nilipata manzi anaitwa Mwaju miaka hio sintosahau..

View attachment 3204288
Bongo5 miaka ya 2007/2008..

View attachment 3204289
Darhotwire miaka ya 2007/8/9... hapa wakongwe wengi mnakumbuka vingi sana kabla ya jamiiforums...

View attachment 3204290
Tanzatl, hii nadhani ilikuwa miaka ya 2004 kama sijasahu niko primary school ,.. kipindi hiko unamaliza darasa la saba una ndevu ushanyoa hadi upele kwenye kidevu..

View attachment 3204291
Jamboforums kabla haijavamiwa na watoto wa 2000s, hapa ni 2006/2007 nadhani kabla haijawa jamiiforums...

View attachment 3204292
Jamboforums 2006.... now jamiiforums, kipindi hiko wanafanya na donation ku run site...

View attachment 3204293
Business times au bcstimes.com--- hapa miaka ya 2004/2005 hata jamiiforums haipo, humu ndipo tulikuwa tunaingia kusoma habari, udaku, magazeti n.k

View attachment 3204297
Hii ni hi5 miaka ya 2002 kama sijasahau au 2003...

View attachment 3204299
Hii ni jambonet miaka ya 2004 i think so... hapa ilikuwa page under maintenence... nakumbuka...

View attachment 3204302
Hii ilikuwa ni YoungAfricans, miaka ya early 2000s.. kipindi hicho wengine ndio mnazaliwa halafu leo mnatutukana humu jamiiforums...
www.zeutamu.com 2007/8/9/10
 
Ebhanaa eeeh!

Umenikumbusha mbali!

Mask girl na ngoma yao Sina hali

Unique Sisters ngoma yao ya kwa sababu gani!

King GK na ngoma yake ya Sister Sister na Paulina Zongo!

Kuna ngoma nyengine ya GK nitakufaje!

Ngoma ya Dully inaitwa Bijou!

East Cost ngoma ya Leo!

Bushoke na ngoma yake ya Barua!

Hatuna kitu ya Rich one ft Sir Nature

Zay B ngoma ya nipo Gado ft Sir Nature

Bwana Misosi na Mad Man nitoke vipi!

Lady Jay dee na ngoma yake ya si wema

Q Chiller A.K.A Q chief na ngoma yake ya nitampata wapi kama yule

Brother umenikumbusba mbali!!!
 
Back
Top Bottom