Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Acha kujizeesha mkuu🤣🤣🤣 2000+ si juzi tu tukiwa vijana wadogo kabisa, leo ndio wazee-vijana bado tupo.. ikifika 2050 hapo kweli tutaitwa babu ile ya ukweli!
Kaka mkubwa kubali yaishe tu.
 
Acha kujizeesha mkuu🤣🤣🤣 2000+ si juzi tu tukiwa vijana wadogo kabisa, leo ndio wazee-vijana bado tupo.. ikifika 2050 hapo kweli tutaitwa babu ile ya ukweli!
Unaongelea takriban miaka 20 nyuma halafu unasema bado. Vitoto vilivyazaliwa early 2000's ikiwa tunaviona sasa hivi tunavitolea mate, huo uzee tayari.
 
Unaongelea takriban miaka 20 nyuma halafu unasema bado. Vitoto vilivyazaliwa early 2000's ikiwa tunaviona sasa hivi tunavitolea mate, huo uzee tayari.
AIsee!
Na kuna Gen z mmoja humu kasema anawaheshimu sana shida mnafungua nyuzi zikisema mnatafuna vitoto vya alfu mbili... 🤣
 
Eeh babu ile yenyewe, leo tunakutana na vitoto tukiviambia sisi ni wazee vinatuambia "hem toa ujinga wako hapa, we bado mbichi kabisa"🤣🤣🤣 Mzee mwenzangu Grahams anayapitia haya kila siku.
Halafu sijui imekuwaje ni kama mme cross multiplication, vijana sasa wanataka mishangazi, vitoto vya alfu mbili vinataka wanaume watu wazima kwenye 40s/50s sasa sijui shida ni nini?
 
Ila vijana wasasa naona kama wanaezeeka haraka sana ,vijana wengi miaka 30 tu kitambi kikubwa na upara sijui shida ni nini?
Ndio kina nyie, vipara na vitambi hata hamjafika 40🤣
 
Noma sana, nakumbuka way back tunaingia Nakiete internet cafee Mwenge, na pale opposite na CBE, email ni yahoo, au hotmail au msn(hapo najiona mjanja zaidi)

Tunaingia darhotwire au marafiki.com kwenye zile public chat halafu unampeleka mtu chemba(private)

Experience ya Hi5 na yahoo messenger na groups zake ilikuwa nzuri sana, kwa yahoo messenger tunfanya video calls au voice na headphones.

Jambo forum, badae JF kuna zile groups mpaka uombe access kabla sheria ya maudhui. Member hapa toka 2008.

Hapo Kicheko tukiwa moshi ndio sehemu ya kwenda, nakumbuka kijana wa Mzee pale akiwa likizo anashinda pale, tunamshushia magemu yeye anatuongezea mda wa bure.

Bila kusahau Waptrick.
 
Earlier 2000 ipi kuwa specific mzee
Early 2000s nadhani ni 2004/2005 kurudi nyuma, binti wa 2005 hivi sasa hata wewe udenda unakutoka, sijui hawa watoto wa sasa hivi wanakula nini...

Enzi zetu, mabinti miaka 20 mtu yupo form one chuchu saa 6, bado hata hazijashikwa... kitu order..
 
Back
Top Bottom