Game limechange fasta sana. Tatizo hao wasanii wa zamani walikua wanaringa sana. Mtu anatoa ngoma moja mwezi wa 2 nyingine hadi wa 9.
Wengine walikua wanakazana na kutoa Album. Katika Album nzima unakuta hit songs hazifiki tatu.
Ila sahivi mtu kila wimbo anaotoa anajitahidi uwe hit song. Watu kama wakina Rayvanny wanatoa wimbo kila baada ya miezi miwili, either wake au kashirikishwa kwahiyo hatumsahau.
Walioweza kumaintain wachache sana kama wakina Dully, Prof Jay nao zali tu sio kwamba walikua wakali saaana.