Wakongwe

Wakongwe

J I T U

Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
14
Reaction score
13
Hivi wale wakongwe wa muziki safi wako wapi
Eti akina marlaw na goma la
busu la pink
Akina matonya ,zanto n.k

Wapo wapi Leo hii mziki mtamu hakuna tena daaah🙀🙀🙀😫😫😫
 
Z anto yupo kigamboni humkosi pale kwenye frem za kwao, marlow si anaimba imba kimtindo kama matonya

Wanaimba kwa kuotea nahisi wanashindwa kwenda na soko
 
Hivi wale wakongwe wa muziki safi wako wapi
Eti akina marlaw na goma la
busu la pink
Akina matonya ,zanto n.k

Wapo wapi Leo hii mziki mtamu hakuna tena daaah🙀🙀🙀😫😫😫
Mziki sio lelemama
 
Z anto yupo kigamboni humkosi pale kwenye frem za kwao, marlow si anaimba imba kimtindo kama matonya

Wanaimba kwa kuotea nahisi wanashindwa kwenda na soko

Huyo Z anto Ana stress za Dj fetty now. Alishazoea kitonga.
 
Game limechange fasta sana. Tatizo hao wasanii wa zamani walikua wanaringa sana. Mtu anatoa ngoma moja mwezi wa 2 nyingine hadi wa 9.
Wengine walikua wanakazana na kutoa Album. Katika Album nzima unakuta hit songs hazifiki tatu.
Ila sahivi mtu kila wimbo anaotoa anajitahidi uwe hit song. Watu kama wakina Rayvanny wanatoa wimbo kila baada ya miezi miwili, either wake au kashirikishwa kwahiyo hatumsahau.

Walioweza kumaintain wachache sana kama wakina Dully, Prof Jay nao zali tu sio kwamba walikua wakali saaana.
 
Back
Top Bottom