Nsera Ndawani
Senior Member
- May 5, 2013
- 136
- 38
hivi hili tatizo la mtu kuandika thread unadhani yuko anajisaidia njia panda itaisha lini? umetangaza biashara yako bure lakini hakuna contacts wala location ya ni wapi mnapatikana...sasa yukishasoma tangazo lako ndio utatumia hizo panel kwa PM?umeme wa solar unasaidia sana maeneo ambayo umeme haujafika. Na pia kwa mjini kwa tatizo la kukatika umeme solar ni suluhisho. Kwa wale wanaohitaji huduma hii ya solar kwa mkopo tunawakaribisha tuna uwezo wa kufunga sehemu yeyote tanzania. Gharama zetu ni nafuu sana
Ndugu yangu samahani sana kama nimekuudhi sii nia yanguAtakuwa anagigidwa huyu utamu ukamkolea akasahau kuweka taharifa kamili,:Mawasiliano,Location zao,Bei zao mbalimbali za huduma. nk. Angemaliza kwanza swala moja ndio aje hapa aeleze kitu kamili. Kugigidana na biashara kamwe haviendi pamoja. Hoja ya maana lakin ndio hivyo tena. Ngoja tumsubiri arudi.😛opcorn::coffee::mvutaji:
Poa ndugu niliumia sana na nahitaji sana hii huduma ndio maana nikakosea hivi kutumia Lugha mbaya. Nami naomba samahani pia. Nashukuru kwa mawasiliano,nitafanyia kazi niweze pata huduma hii. Lakin sio kwamba nilitaka kukopa,bali nataka kununua kabisa/kulipa cash je nitafanikiwa??,check bei ya watts 80 au kubwa yake unipe bei bila kuchakachua na uniambie kama kuna ofisi arusha,kwani kufuata huduma hii mbali itakuwa hasara zaidi. Ni PM bei please.Ndugu yangu samahani sana kama nimekuudhi sii nia yangu
kwani naona umechukia sana hata maneno uliyotumia yanaonyesha hivyo.KAMA UTAKUWA UNAHITAJI SOLAR AU MAELEZO YEYOTE YANAYOHUSIANA NA SOLAR TAFADHALI TUMIA HII EMAIL ADDRESS takuletradingco@gmail.com