Wakopeshaji wa sola panel

Wakopeshaji wa sola panel

Nsera Ndawani

Senior Member
Joined
May 5, 2013
Posts
136
Reaction score
38
umeme wa solar unasaidia sana maeneo ambayo umeme haujafika. Na pia kwa mjini kwa tatizo la kukatika umeme solar ni suluhisho. Kwa wale wanaohitaji huduma hii ya solar kwa mkopo tunawakaribisha tuna uwezo wa kufunga sehemu yeyote tanzania. Gharama zetu ni nafuu sana
 
Weka contact mkuu umeanza vizuri na uzi wako ila umetuachia majonzi maana tulijua mkombozi amepatikana alafu hujatupa suruhisho
 
umeme wa solar unasaidia sana maeneo ambayo umeme haujafika. Na pia kwa mjini kwa tatizo la kukatika umeme solar ni suluhisho. Kwa wale wanaohitaji huduma hii ya solar kwa mkopo tunawakaribisha tuna uwezo wa kufunga sehemu yeyote tanzania. Gharama zetu ni nafuu sana
hivi hili tatizo la mtu kuandika thread unadhani yuko anajisaidia njia panda itaisha lini? umetangaza biashara yako bure lakini hakuna contacts wala location ya ni wapi mnapatikana...sasa yukishasoma tangazo lako ndio utatumia hizo panel kwa PM?
 
tuko arusha mjini
utaratibu ni mkopaji aonyeshe uwezo wa kulipa
tunatoa hadi miezi 6
hata kama ni lindi tutafika cha msingi ni kama mahitaji yatakidhi gharama
tunashauri kama ni kijijini watu wajiorodheshe
 
Jina letu ni takule trading co
tuko arusha mjini
duka liko uhuru road[sokoine road] karibu na benson
 
Atakuwa anagigidwa huyu utamu ukamkolea akasahau kuweka taharifa kamili,:Mawasiliano,Location zao,Bei zao mbalimbali za huduma. nk. Angemaliza kwanza swala moja ndio aje hapa aeleze kitu kamili. Kugigidana na biashara kamwe haviendi pamoja. Hoja ya maana lakin ndio hivyo tena. Ngoja tumsubiri arudi.😛opcorn::coffee::mvutaji:
 
takuletradingco@gmail.com
solar ni kuanzia taa 5 na kuendelea
tunazo panel za kuanzia ukubwa wa 15wts mpaka 100wts
na pia vifaa vyetu vina warranty ya mwaka 1
 
Gharama zake please? Mfano taa 5, kucharge cm na kuwasha tv
 
hapana niko nje ya nchi na pia ndiyo kwanza nimejiunga na jamii forum nikaona
nisehemu ninaweza kufanyia kazi
kwa hiyo kwa hiyo siyo vizuri ukatumia maneno mabaya kunishambulia
 
Tv ya nchi 14" ni panel ya wts 80 na battery ya 100ah
kama utafuata arusha ni kwa cash ni
inverter 300wts charger control 10amp taa 5 power cable 12mts jumla 750,000
 
Hiyo gharama ni pamoja na TV au natakiwa niwe na TV yangu?
 
UNAWEZA KUTUMIA EMAIL ADDRESS YETU
UKATUMA MAHITAJI YAKO
SEHEMU ULIPO
NASI TUTAKUPA MAELEZO YA KUTOSHA KABISA YA KITAALAM
KUHUSU BEI ISIKUSUMBUE KABISA MALI ZETU TUNAAGIZA WENYEWE
NA ZINA UBORA MZURI NDIYO SABABU TUNATOA WARRANTY NA PIA TUNAKOPESHA
email address yetu ni takuletradingco@gmail.com
 
Atakuwa anagigidwa huyu utamu ukamkolea akasahau kuweka taharifa kamili,:Mawasiliano,Location zao,Bei zao mbalimbali za huduma. nk. Angemaliza kwanza swala moja ndio aje hapa aeleze kitu kamili. Kugigidana na biashara kamwe haviendi pamoja. Hoja ya maana lakin ndio hivyo tena. Ngoja tumsubiri arudi.😛opcorn::coffee::mvutaji:
Ndugu yangu samahani sana kama nimekuudhi sii nia yangu
kwani naona umechukia sana hata maneno uliyotumia yanaonyesha hivyo.KAMA UTAKUWA UNAHITAJI SOLAR AU MAELEZO YEYOTE YANAYOHUSIANA NA SOLAR TAFADHALI TUMIA HII EMAIL ADDRESS takuletradingco@gmail.com
 
maelezo yako hayajitoshelezi.........kwanini wabongo tunashindwa kila kitu............hi ni biashara......unapoweka manbeno nusunusu unategemea nini.,..........au unabahatisha...jieleze ....ni kampuni? au ni mtu binafsi? Ni za wapi? terms and condition??unatoa huduma za kufunga????NK huoni kwa kufanya hivyo itakuwa rahisi kueleweka???...kama hicho kibishara chako ni ncha kubahatisha plz usisumbue watu plz
 
Ndugu yangu samahani sana kama nimekuudhi sii nia yangu
kwani naona umechukia sana hata maneno uliyotumia yanaonyesha hivyo.KAMA UTAKUWA UNAHITAJI SOLAR AU MAELEZO YEYOTE YANAYOHUSIANA NA SOLAR TAFADHALI TUMIA HII EMAIL ADDRESS takuletradingco@gmail.com
Poa ndugu niliumia sana na nahitaji sana hii huduma ndio maana nikakosea hivi kutumia Lugha mbaya. Nami naomba samahani pia. Nashukuru kwa mawasiliano,nitafanyia kazi niweze pata huduma hii. Lakin sio kwamba nilitaka kukopa,bali nataka kununua kabisa/kulipa cash je nitafanikiwa??,check bei ya watts 80 au kubwa yake unipe bei bila kuchakachua na uniambie kama kuna ofisi arusha,kwani kufuata huduma hii mbali itakuwa hasara zaidi. Ni PM bei please.
 
ni sawa binadamu wanakoseana na wanasameana br
panel ya wts 80 yenye warranty miaka 10 ni 240,000 br
unaweza kunipa anwani yako kwa kutumia email address yetu br
tukaongea zaidi
 
Back
Top Bottom