Wakopeshaji wa sola panel

Wakopeshaji wa sola panel

TAKULE TRADING CO, NI WAUZAJI WA SOLAR PANEL NA VIFAA VYAKE WAKO ARUSHA MJINI
P.O.BOX 12588 ARUSHA TANZANIA email ADD Ni takuletradingco@gmail.com
MADUKA YAO YAKO MAENEO YA SOKOINE ROAD, SOMALI STREET, CHAGGA ROAD
WANATOA HUDUMA YA MKOPO WA SOLAR KWA WATU WANAOHITAJI HUDUMA HIYO,
HUDUMA WANAZOTOA NI PAMOJA NA KUFUNGA SOLAR.
VIFAA VYAO VINA WARRANTY YA MWAKA MMOJA.
UTARATIBU WA MKOPO
1] MKOPAJI AWE ANAFAHAMIKA
2] AWE NA DHAMANA ITAKAYOKUBALIKA
3] MKOPO NI WA MIEZI SITA
4] MKOPAJI ANAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO
5] DHAMANA ATACHUKUA MKOPAJI BAADA YA KUMALIZA MKOPO
6] MKOPAJI ATASAINI FOMU YA MKOPO YEYE MWENYEWE
7] GHARAMA ZA USAFIRISHAJI ZITALIPWA NA MKOPAJI WAKATI WA KUSAFIRISHA MZIGO
8] MUDA WA MKOPO HAUTAONGEZWA

9] GHARAMA ZA UFUNGAJI ZITALIPWA MARA UFUNGAJI UNAPOKAMILIKA
 
Safi hayo maelezo yanajitosheleza kidogo, sasa orodhesha bidhaa mlizonazo na bei zake. Eleza kwa lugha nyepesi ili hata yule ambae shule iligomba aweze kuelewa na hatimaye atoe order ya kifaa anachotaka. Punguza technical jargon bro.
 
mkuu mimi nahitaji solar pannel next month kwa ajili ya kuendeshea pump ya maji shambani na hakuna umeme huko nahisi solar itakua nzuri kuliko generator ambalo litanilazimu kununua mafuta ila sijui ni solar kubwa kiasi gani inafaa kwa ajili ya pump ya kisima please assist
 
Asante ninaomba unipe ukubwa wa pump yako
na kisima chako kina urefu gani kwa kwenda chini na pia unataka kunyeshea shamba la ukubwa gani br
asante
 
safi hayo maelezo yanajitosheleza kidogo, sasa orodhesha bidhaa mlizonazo na bei zake. Eleza kwa lugha nyepesi ili hata yule ambae shule iligomba aweze kuelewa na hatimaye atoe order ya kifaa anachotaka. Punguza technical jargon bro.
ni sawa mkubwa nimekusikia, vifaa tulivyo navyo ni solar panel za saizi mbalimbali , battery, charger control, inverter, wire,
kwa ujumla tuna vifaa vyote vya kukufanya uwe na mwanga wa taa na kutazama tv na vitu vingine vinavyohitaji umeme
cha msingi ni wewe utuambie unahitaji solar kwa ajili ya matumizi yapi ili tuweze kukupatia gharama zake, pia ni vizuri tukajua eneo unalotaka ufungiwe umeme wa jua
asante
usisite kuuliza kama hujaelewa kaka

takule trading co,
p.o.box 12588 arusha tanzania

Asante ninaomba unipe ukubwa wa pump yako
na kisima chako kina urefu gani kwa kwenda chini na pia unataka kunyeshea shamba la ukubwa gani br
asante

Kisima ni 100Meters na shamba ni 100 acres sijajua ukubwa wa pump bado
 
Back
Top Bottom