Kipindi cha nyuma kuliibuka na ushabiki mkubwa kwenye video za bongo flava.
Walijitokeza watu wasiojulikana kwenye mtandao wa YouTube wakidai wao ni watu wa asia ila uchangiaji wao ndio ulioshangaza kwani wanamaneno ya kihuni.
Utasikia hii video imesimamia kucha mara hii ngoma konkii kuna mwarabu mwingine alisema hilo kinikia ni level za kwa trump kwa kiduku hupati.
Hawa watu wa asia wameenda wapi
kama kuna mtu humu jukwaani anawafahamu awambie warudi comments zao zinafurahisha sana na kuongeza views kwa wasanii wa bongo flava.