Wakorea na wachina wa YouTube wako wapi siku hizi.

Wakorea na wachina wa YouTube wako wapi siku hizi.

cheetah255

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2017
Posts
1,376
Reaction score
2,393
Kipindi cha nyuma kuliibuka na ushabiki mkubwa kwenye video za bongo flava.

Walijitokeza watu wasiojulikana kwenye mtandao wa YouTube wakidai wao ni watu wa asia ila uchangiaji wao ndio ulioshangaza kwani wanamaneno ya kihuni.

Utasikia hii video imesimamia kucha mara hii ngoma konkii kuna mwarabu mwingine alisema hilo kinikia ni level za kwa trump kwa kiduku hupati.

Hawa watu wa asia wameenda wapi
kama kuna mtu humu jukwaani anawafahamu awambie warudi comments zao zinafurahisha sana na kuongeza views kwa wasanii wa bongo flava.
 
Utaona comment imeandikwa

DAH NIPO MAREKANI SIJUI KISWAHILI ILA HUU WIMBO MKALI SANA,HONGERA DIAMOND KWA KICHUPA HATARI

sasa utajiuliza hajui kiswahili mbona kaandika kiswahili
 
Utaona comment imeandikwa

DAH NIPO MAREKANI SIJUI KISWAHILI ILA HUU WIMBO MKALI SANA,HONGERA DIAMOND KWA KICHUPA HATARI

sasa utajiuliza hajui kiswahili mbona kaandika kiswahili
Albadiri imewapata hadi vijana wa youtube wanahisi wapo ughaibuni kumbe wapo kwamtogore.
 
Back
Top Bottom