Wakosoaji wa Hayati Rais Magufuli wanatetea nafasi zao na sio umma

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma.

Ukosoaji huu hauna mashiko kwa sababu basis yake ni ubinafsi na sio umma
 
Na waomtetea Magufuli wanamtetea kwa sababu hiyo hiyo
 
Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma.

Ukosoaji huu hauna mashiko kwa sababu basis yake ni ubinafsi na sio umma
Kwani bado yuko hai?
 
Leo ni moja ya siku chache ninazo kuunga mkono. Wale waliokuwa wanamsifu akiwa hai walikuwa wanamsifu kwa sababu ya matumbo yao, na hawa wanaokosoa sasa nao ni hivyo hivyo. Ndiyo maana nasema alifanya makosa sana kudhani upinzani ndiyo maadui zake. Kungekuwa na uwezo wa kufufua watu akirudi angemfanya Lissu makamu wa rais.
 
Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma.

Ukosoaji huu hauna mashiko kwa sababu basis yake ni ubinafsi na sio umma
Nyinyi mliofaidika na uovu wake mna wajibu wa kumtetea maana mna deni la kulipa kwake. Maslahi ya umma yalianza wakati ameingia madarakani? Usidhani hatujui kuwa jamaa alikuwa kiongozi katili na muovu, tunauwezo wa kuchambua yapi yalikuwa maslahi ya umma, na upi ni ulevi wa madaraka.
 
Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma.

Ukosoaji huu hauna mashiko kwa sababu basis yake ni ubinafsi na sio umma
Unamaanisha John yupi?? Huyu kichaa wa milembe??
 
Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma.

Ukosoaji huu hauna mashiko kwa sababu basis yake ni ubinafsi na sio umma
Ulivyoandika ni as if Magufuli alikuwa ni malaika au mungu fulani hivi. Watu waliokuwa na fikra kama hizi wakati wa uhai wake ndiyo actually waliomponza hadi yakamkuta yaliyomkuta.
Wenye fikra kama hizi wakasababisha aanze kweli kujisikia u mungu mungu fulani hivi na kwamba angeweza kufanya chochote hapa duniani huku akisahau kuwa kuna MUNGU mmoja tu tena mwenye wivu sana dhidi ya miungu feki.
 
Hata mfanyaje hatokaa arudi, aliumiza sn watu.
 
Ulivyoandika ni as if Magufuli alikuwa ni malaika au mungu fulani hivi. Watu waliokuwa na fikra kama hizi wakati wa uhai wake ndiyo actually waliomponza hadi yakamkuta yaliyomkuta.
Wenye fikra kama hizi wakasababisha aanze kweli kujisikia u mungu mungu fulani hivi na kwamba angeweza kufanya chochote hapa duniani huku akisahau kuwa kuna MUNGU mmoja tu tena mwenye wivu sana dhidi ya miungu feki.
Kabisa mkuu
 
Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma.

Ukosoaji huu hauna mashiko kwa sababu basis yake ni ubinafsi na sio umma
Sio kwa unyama wa yule jamaa, Bora tu alivyotwaliwa
 
Back
Top Bottom