Wakosoaji wa Hayati Rais Magufuli wanatetea nafasi zao na sio umma

Wakosoaji wa Hayati Rais Magufuli wanatetea nafasi zao na sio umma

Umenena vyema kabisaaa, ukiachana na hawa wafuata mkumbo na wapiga kelele wa mitandaoni, wahusika walioshikishwa adabu ukweli wanaujua kuwa walichopata awamu ya tano ni stahiki yao kabisaaaaaa. Na baadhi wametulia tuliiiii.

Ukija kwa hawa wafuata mkumbo ambao hawakuguswa, hawa hawana lolote zaidi ya kurukia rukia kila jambo kama kuku aliyekatwa kichwa bila hata kujua undani wake.
 
.....watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma.

wewe bwege sana ujue.

kwa taarifa yako tupo tunaomkosoa kwa msukumo binafsi uliosababishwa na aina yake ya utawala mbaya na katili.

sisi wengine hatukuwahi kuwa waajiriwa serikakini, wala hatujawahi kushika madaraka yoyote ya kuteuliwa.

mahitaji yetu ya kila siku ni kwa juhudi zetu binafsi, hatujawahi kuwa na maslahi au mafungamano ya aina yoyote na jiwe. na bado tunamkosoa
 
Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma.

Ukosoaji huu hauna mashiko kwa sababu basis yake ni ubinafsi na sio umma
Ila ni makada wa CCM wenzake ndio wame mchinjia baharini, inatupa picha kamili ya wadau wa ccm
 
Bulembo anaingia kwenye orodha hii
 
Leo ni moja ya siku chache ninazo kuunga mkono. Wale waliokuwa wanamsifu akiwa hai walikuwa wanamsifu kwa sababu ya matumbo yao, na hawa wanaokosoa sasa nao ni hivyo hivyo. Ndiyo maana nasema alifanya makosa sana kudhani upinzani ndiyo maadui zake. Kungekuwa na uwezo wa kufufua watu akirudi angemfanya Lissu makamu wa rais.
waliokuwa kimshangilia JPM kabla ya kifo badaa ya kufa akaja rasi mwinfine ndio wanamkosoa JPM namkushangilia SSH siku SSH akindoka akaja mtu mwingine watafanya hivyo
 
Back
Top Bottom