Wakristo Bethlehem alipozaliwa Yesu wabomoa mapambo yote kuomboleza wanaouliwa Gaza na kuunga mkono mashahidi wa Palestina

Waliambiwa ambao si Hamas na hawana mafungamano nao waondoke hapo Gaza.Kubaki ni kujinasibisha nao.Wacha wadundwe tu.
Maskini,wagonjwa na watoto lazima watolewe kwenye kundi hilo.
Watu umewanyima chakula na maji na watoto wamebaki peke yao halafu unaendelea kuwapa amri.Hizo ni akili za mwehu na aliyechanganyikiwa.Watu ambao wako na akili zao wanakimbia kumshika mikono asiendeleze ukichaa wake.
 
Sisi wakristo wa Tanzania tunataka magaidi na vizazi vyao wafutwe ili ikawe funzo.07/10 Mlisheherekea peke yenu na Takbir kibao na leo ombolezeni peke yenu.Harakat al muqawama al Islamiya wamefutwa kabisa hawapo wamebaki historia
 
Weka picha sasa tuone vimeharibiwa Sio unakuja na stori😂😂😂💊
Kazi hiyo ni ya manispaa ya Bethlehem.Mwambie mhashamu apeleke malalamiko kama wewe huafiki.
Kwa ufupi wakristo wa kweli kwa sasa wako Palestina na Latin America.
 
Hivi ulitegemea kitatokea nini mapambano yakianza?Walaumu Hamas ambao hawana uwezo wa kutumia akili kwa umahiri hata wa asilimia tatu tu.
 
Kujificha kwa wanawake unawasingizia tu.Ama kujificha kwenye mahandaki kumkimbia adui halafu ukatokea mlango wa pili ukaja kumpiga kwa nyuma ni moja ya akili bora kabisa
Hamas wamefukiwa kwenye mahandaki,hawapo.Kilichotokea ni silent genocide.Jiweke sawa kisaikolojia.Wana muqawama wanaenjoy bikra zao jannatul firdaus sheikh.Hawajatoweka wametoweshwa
 
Ukristo upi tena Nchini Israeli.

Si munasimulia humu kila siku kuwa Ukristo umepigwa marufuku Nchini Israeli ?

Munasimulia kwa kujisifu kuwa Israeli kwa sasa zimabaki Dini Mbili tu.

Uyahudi na Uislamu.

Sisi Wakristo hatuhusiki na Vita ya Wayahudi na Wapalestina Waislamu.

Nyie mnajuana wenyewe na Dini zenu za mapambano hadi kifo huko Israeli na kwingineko duniani mnapoona panawafaa kupambana.
 
Kazi hiyo ni ya manispaa ya Bethlehem.Mwambie mhashamu apeleke malalamiko kama wewe huafiki.
Kwa ufupi wakristo wa kweli kwa sasa wako Palestina na Latin America.
Weka picha hapa tuone vitu vilivyoharibiwa mbali na hapo unaleta porojo. Kuhusu ukristo wa kweli kama dinintuliletewa tunauhakika gani ninkweli au ni uongo ww leta picha tuone uharibifu tu
 
Masjid al aqsa inakwenda kuwa majivu soon
 
Christian, Jews and Muslims shared Palestine. Israel was forcefully created as a Apartheid Jew state By US, Canada, and UK. Now they are funding Israel to murder over 15,000 innocent Palestinian children and innocent civilians

Ukiambiwa mahakama imemkumu fulani kwa kufanya ulawiti halafu ukaoneshwa picha ya mahakama kwanii lazima umuone hakimu na umuone huyo aliyehukumiwa kulawiti.
Hizo picha ni hayo mapambo yatakayobomolewa.
Waislamu mngekazania elimu kwanza kabla ya yite maana ni wapumbavu na dhalili mno.
 
hivi wewe Gaidi wa Buza kwa Mpalange huwa unafanya kazi muda gani!?

Wewe hupendi mabikra 72? Nenda kaungane na wenzako huko kwenye mahandaki. Tumekuchoka
 
Ukiambiwa mahakama imemkumu fulani kwa kufanya ulawiti halafu ukaoneshwa picha ya mahakama kwanii lazima umuone hakimu na umuone huyo aliyehukumiwa kulawiti.
Hizo picha ni hayo mapambo yatakayobomolewa.
mfano hauendani ndo shida
 
Hivi wakristo na wayahudi wana elimu kweli kuliko waislamu..Elimu zao kwanza ni kwa ajili ya kufanyia ufisadi.Elimu ya kweli huanza na kumjua na kumuogopa Mungu.
Waislamu mngekazania elimu kwanza kabla ya yite maana ni wapumbavu na dhalili mno.
 
Hivi wakristo na wayahudi wana elimu kweli kuliko waislamu..Elimu zao kwanza ni kwa ajili ya kufanyia ufisadi.Elimu ya kweli huanza na kumjua na kumuogopa Mungu.
Mbona Samia muislam na fisadi?
 
Acha wabomoe hizo kumbukumbu za fundi Seremala
 
Ni baadhi ya wakristo wa Tanzania hawajitambui kwa kuwashambulia wauaji wa Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…