Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Maskini,wagonjwa na watoto lazima watolewe kwenye kundi hilo.Waliambiwa ambao si Hamas na hawana mafungamano nao waondoke hapo Gaza.Kubaki ni kujinasibisha nao.Wacha wadundwe tu.
Watu umewanyima chakula na maji na watoto wamebaki peke yao halafu unaendelea kuwapa amri.Hizo ni akili za mwehu na aliyechanganyikiwa.Watu ambao wako na akili zao wanakimbia kumshika mikono asiendeleze ukichaa wake.