Wakristo kimbieni upumbavu wa kuombewa

Wakristo kimbieni upumbavu wa kuombewa

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Mkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu kweli wewe? Tuache upumbavu.
 
Hivi kwanini usitulie ukapambana na maisha yako na din yako wewe??!!eti unawashauri wakristo tangu lini🤣🤣😂😂 mbona husemi wale wanaobusu jiwe kule maka ungewashauri coz wanakufa kila leo kwa kukanyagana hebu tokaa hapa!!!
 
pascal_kabombe-20241214-0001.jpg
 
Mkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu kweli wewe? Tuache upumbavu.
Ninaomba watu wenye shida mbalimbali, bei nafuu sana, karibuni sana
 
Hivi kwanini usitulie ukapambana na maisha yako na din yako wewe??!!eti unawashauri wakristo tangu lini🤣🤣😂😂 mbona husemi wale wanaobusu jiwe kule maka ungewashauri coz wanakufa kila leo kwa kukanyagana hebu tokaa hapa!!!
Astaghifilullah!Ya kweli hayo?
 
Hivi kwanini usitulie ukapambana na maisha yako na din yako wewe??!!eti unawashauri wakristo tangu lini🤣🤣😂😂 mbona husemi wale wanaobusu jiwe kule maka ungewashauri coz wanakufa kila leo kwa kukanyagana hebu tokaa hapa!!!
Huna akili,sasa ivyo vi-emoj vya nini kama punga mzee
 
Mkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu kweli wewe? Tuache upumbavu.
Hii kweli umetusanua
 
Unataka matapeli wanaotumia mlango wa dini ulioachwa wazi wakale wapi wakati kuna mafala kibao wanaokubari kuibiwa kingese kisa dini?
 
Mkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu kweli wewe? Tuache upumbavu.

Yaani nashangaa sana,maandiko Yako wazi,lakini watu wanashupaza shingo!Kweli nyakati za mwisho ndio hizi.
 
In fact The bulldozer Mwamposa by appearance only He seems to be a professional scammer and A liar. And the way I see Kuna Money laundering kubwa sana kupitia hii huduma anayoifanya. Anyways ipo Siku ataingia kwenye kumi na nane na uovu wake utakiwa wazi.
 
Back
Top Bottom