Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Mungu ndio shetani mwenyewe amka kifkra hizo dini sijui yesu sijui ukristo sijui uislam ni njia ya kukutawala kiakili kama Mungu anajua kila kila kitu kwanini alimuumba shetani wakati alijua atakuja kuaasi utakuja kugundua Mungu ndio shetani mwenyeweKitakuwa kituko cha dunia kwa malaika wa mbinguni kupokea ushauri kutoka kwa Iblis Bin Shetan