PreGE2025 Wakristo kote nchini wametakiwa kutojihusisha na upokeaji wa rushwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

PreGE2025 Wakristo kote nchini wametakiwa kutojihusisha na upokeaji wa rushwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakristo kote nchini wametakiwa kuwa mfano bora wa kuigwa kwa kuendele a kuyaishi matendo mema kama walivyofanya wakati wa kipindi cha mfungo wa Kwaresma kwa kudumiasha upendo na kujaliana na kuombea amani ya nchi katika kipindi hiki ambapo taifa linaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Urais Ubunge na Udiwani na kutojihusisha na upokeaji wa rushwa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wito huu umetolewa na Baba Paroko wa Parokia ya Yohana Mbatizaji, Nyamihongo Padri Chukwuemeka Ngozi Anyanwu, wakati akiwahubiria waumini wa kanisa hilo kwenye ibada ya misa takatifu ya Ufufuko wa Yesu Kristo, huku akihimiza suala la amani kuelekea uchaguzi mkuu pamoja na upendo.

 
Na Wakristo wasipopokea rushwa ndio utakuwa mwisho wa rushwa nchini
 
Back
Top Bottom