Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 331
- 416
- Thread starter
- #21
Mkuu hii kitu ni serious imewahi kuleta taharuki Kanda ya ziwa na Tanzania Kwa ujumla. Ukweli hapa ni suala zito la kiimani ambapo watu wengine wanakula vitu ambavyo vimeandaliwa Kwa miungu ya watu bila kujua au kujali. Wakristo ama ni watu wa kupuuzia mambo ya kiroho au wenye upendo na amani Kwa watu wote. ukweli hizi nyama za mabuchani zinasambaza roho nyingine. Ni maombi tu ndiyo yanayosaidia!Watu mko serious na maisha kiasi kwamba kila kitu kinahitaji debate.. Anyways ukaribie pande hizi naona msosi tayari 😋😋
Kuna watu wa miungu mingine ukiwagusa kwenye eneo hili wanaweza kutoa Roho ya Mtu.