The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mbona unaongea kama sio riziki? Vipi huna marinda?Sawa sheikh,
Ila leo hujatoa oda ya kitimoto vipi nikuwekee kilo ngapi???
Zile ndevu ndefu zenye hina waislam huwa wanazikwa nazo? Je vibarakashia?Salute,
Kwa waislamu kama mtu kaunganisha nywele ama ni ndefu sana, ni lazima ziondolewe ndo mtu azikwe.
Hichi kitu je kwa wakristo kikoje?
Ni 72 sheikh...Muddy yuko anaendelea kufaidi sahvAaaa wazee wa bikra 70
Ni 72 sheikh...Muddy yuko anaendelea kufaidi sahv
Mbona wanawake wa kiislamu wengi tu wanavaa na kuficha kwenye mitandio!!! Mambo ya urembo hayana dini sikuhziSalute,
Kwa waislamu kama mtu kaunganisha nywele ama ni ndefu sana, ni lazima ziondolewe ndo mtu azikwe.
Hichi kitu je kwa wakristo kikoje?
Umefanikiwa mbonaJF bado inazingua kwangu kila nikipress new posts. Hapa natest kukoment
Wanazikwa nazoSalute,
Kwa waislamu kama mtu kaunganisha nywele ama ni ndefu sana, ni lazima ziondolewe ndo mtu azikwe.
Hichi kitu je kwa wakristo kikoje?