Wakristo mkifa zile nywele za bandia wanazikwa nazo?

Wakristo mkifa zile nywele za bandia wanazikwa nazo?

Huu uzi sio wa Chit-Chat ni uzi wa kukaa Jukwaa la Imani!. Soon kuna Ban zitatokea humu!.
 
Salute,

Kwa waislamu kama mtu kaunganisha nywele ama ni ndefu sana, ni lazima ziondolewe ndo mtu azikwe.


Hichi kitu je kwa wakristo kikoje?
Mbona wanawake wa kiislamu wengi tu wanavaa na kuficha kwenye mitandio!!! Mambo ya urembo hayana dini sikuhzi
 
Uzikwe nazo ama huzizikwe nazo ni sawa, coz sisi tunaangalia roho siyo mwili
Ata wakikutupa hapo sawa tu cha msingi roho yako inaenda wapi mkuu
 
Back
Top Bottom