Wakristo mkifa zile nywele za bandia wanazikwa nazo?

Wakristo mkifa zile nywele za bandia wanazikwa nazo?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Salute,

Kwa waislamu kama mtu kaunganisha nywele ama ni ndefu sana, ni lazima ziondolewe ndo mtu azikwe.


Hichi kitu je kwa wakristo kikoje?
 
JF bado inazingua kwangu kila nikipress new posts. Hapa natest kukoment
 
umeuliza swali lako katika kimsingi wa kidini sana kwa mtazamo wa haraka una praise dini moja unadidimiza nyingine kitu kisichotakiwa

badili namna na lugha ya uulizaji wa swali lako
 
Miili yetu ni mbolea tu ukishazikwa baada ya siku kadhaa inaoza na kutoa funza so sidhani kama kuna shida mtu akizikwa na nywele bandia au laa
 
Mijadala yenye muelekeo ya Kshfa za kidini tujaribu kuipuuza kwa maslah mapana ya uhai wa mtandao wetu wa JF

SOMETIME tunawapa points maadui wa mtandao huu kwa hoja na michango yetu ambayo sio productive
 
Back
Top Bottom