Quran 20:9
Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?
10
Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye mot
11
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
12
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
13
Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.
14
Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na ushike Sala kwa ajili ya kunikumbuka Mimi.
Kwa bahati mbaya uliyonayo Mungu alishaa jifunua Kwa watu na ameshafunga huo ukurasa kilichobaki Sasa ni kuwajua watu wenye akili na watu ambao ni vilaza
Unajua Kwa nini Mungu alifunga huo ukurasa ? Ni Kwa sababu wajinga hawaishi kuzaliwa
Yani hata kama Leo hii Mungu atajifunua kwako na wewe ukaamini Kwa kuona ishara zake kuwa kweli Mungu yupo miaka 50 au 100 ijayo atatokea mtu kilaza na mjinga kama wewe atasema hakuna Mungu hu ulimwengu na viumbe vilivyopo vimezuka tu from no where