Wakristo na Waisilamu tujadili vifo vya Mitume

Nakujibu hivi,kidini hakuna sheria inayotaka Mtu azike siku hiyo hiyo Wala akae mwaka pindi akifa ktk uislam mfano (ntasahihishwa)ni Sunna kuzika mapema maana aliyekufa ndo kafa kuendelea kumuweka ni kuzidisha huzunii na maombolezo kitu ambacho kwetu sisi kimekatazwa kulia Kwa maombolezo...
Na Mtume s.a.w anasema,Mtu akifa azikwe haraka km kheri akakutame nayo na Shari akakutane nao
Then kwetu sisi kuzika ni faradhi isiyo ya lazima watu 40 wakiswalia mayyit akazikwe,kumsubiri nani sijuii nani Haina haha ila km mnataka mnamsubiri pia na ikijuzu msafirisheni pia maana km Kila mwanadamu Mungu anajua ardhi ya kuzaliwa basi ndo Mungu hujua yeye udongo wako Wa kuzikwa pia...
Mnisahihishe nilipokosea bila matusi wala kejeli
Kuzika ni ibada, kwa maana hiyo tayari ina muongozo maalumu kwa lugha ya kisomi tunasema ni jambo tawqiyfiyyah, yaani tunalazimika kufuata Qur'an na sunnah katika maziko yetu na si kufuata ada za watu.

Katika uislamu ni utaratibu wa lazima kumfanyia maiti mambo manne, kumuosha, kumkafini kwa sanda, kumswalia na kumzika, yote haya yamewekewa taratibu maalumu na yanatakiwa kufanywa kwa uharaka mkubwa.

Ama suala la kusafirisha ni suala la haramu isipokuwa kwa dharura kubwa ya kusababisha hilo, kama vile kukosekana makaburi ya waislamu katika mji huo hivyo inabidi kumpleka mji wa karibu ili akazikwe kwenye makaburi ya waislamu n.k, ama kwa nyakati tulizonazo hakuna udharura huo kwa kiasi kikubwa.

Hili jambo ni la haramu kabisa mtu azikwe katika ardhi aliyofia na hata kama aliusia kabla ya kufa kwake kuwa asafirishwe kwenda mahali fulani basi wasia wake hautekelezwi kwa ule udharura wa kufuata muongozo wa Qur'an na sunnah katika hili.
 
Katika watu wote wewe ndiye umetoa jibu la kweli
 
Ooh!!! nashukuru sana!kwa elimu hii

Maana ujue wengine sio wajuzi sana
 
Hao unaowaita mitume wa mungu, aliekwambia kwamba Mungu ndie aliewatuma ni nani? Wao wenyewe kujiita mitume na kusema wametumwa na Mungu ama Mungu mwenyewe kuwatangaza kwamba amewateua na kuwatuma?

Kwani mtu akifa na akazikwa leo ama wiki ijayo ama mwaka ujao unaathiri nini mipango ya mungu dhidi ya huyo mtu? Na what if asipozikwa akakaushwa na kuwekwa maonyesho, Mungu anaathirika na nini?

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
point safi ila kwenye mungu hayupo hapo mmmmhhh😏😏😏
 
Kuzika ni ibada, kwa maana hiyo tayari ina muongozo maalumu kwa lugha ya kisomi tunasema ni jambo tawqiyfiyyah, yaani tunalazimika kufuata Qur'an na sunnah katika maziko yetu na si kufuata ada za watu.

Katika uislamu ni utaratibu wa lazima kumfanyia maiti mambo manne, kumuosha, kumkafini kwa sanda, kumswalia na kumzika, yote haya yamewekewa taratibu maalumu na yanatakiwa kufanywa kwa uharaka mkubwa.

Ama suala la kusafirisha ni suala la haramu isipokuwa kwa dharura kubwa ya kusababisha hilo, kama vile kukosekana makaburi ya waislamu katika mji huo hivyo inabidi kumpleka mji wa karibu ili akazikwe kwenye makaburi ya waislamu n.k, ama kwa nyakati tulizonazo hakuna udharura huo kwa kiasi kikubwa.

Hili jambo ni la haramu kabisa mtu azikwe katika ardhi aliyofia na hata kama aliusia kabla ya kufa kwake kuwa asafirishwe kwenda mahali fulani basi wasia wake hautekelezwi kwa ule udharura wa kufuata muongozo wa Qur'an na sunnah katika hili.
Nani kasema kuzika ni Ibada, aaah ni mwarabu basi basi yaishe.
 
Alieweka utaratibu wa kufa ndiye amefundisha hayo, sisi hatuwafuati waarabu kwani uislamu ni dini ya waarabu peke yao? ndio maana kuna wabobezi wengine kielimu ni waafrika weusi tii, na waarabu wanakaa chini yao wanasoma.
 
KWANZA KITABU CHENYEWE QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
Hiyo Aya wagalatia kwa kukosa akili mumeielewa au mumeitafsiri kimakosa halafu eti mnatoka nayo kifua mbele kwamba mumepata mahala pa kuituhumu Quran tukufu kuwa ni kitabu Cha shetani.
Japo najua mnajua kuwa mnawadanganya na mnawapotosha wakristo wenzenu kwa maksudi hali mkijua kuwa tafsiri yenu juu ya Aya hiyo siyo tafsiri sahihi nasema kwamba tafsiri sahihi ni kwamba "HUYO MALAIKA JIBRILI NDIYE ALIYEITEREMSHA QURAN KWENYE MOYO WAKO KWA IDHINI YA ALLAAH"
{ قُلۡ مَن كَانَ عَدُوّٗا لِّـجِبۡرِيلَ فَإِنَّهُۥ نَزَّلَهُۥ عَلَىٰ قَلۡبِكَ بِإِذۡنِ ٱللَّهِ مُصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيۡهِ وَهُدٗى وَبُشۡرَىٰ لِلۡمُؤۡمِنِينَ }
[Surah Al-Baqarah: 97]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini."
Halafu tangu lini shetani afanye jambo kwa idhini ya Allaah?!
ACHENI UPOTOSHAJI ENYI WAGALATIA MSIOKUWA NA AKILI.
"Narudia kusema maana ya Aya hiyo ni kwamba "Aliyekuwa adui wa jibrilu basi aelewe kuwa huyo jibrilu ndiye kaiteremsha Quran juu ya moyo wako kwa idhini ya Allaah."
 
Alieweka utaratibu wa kufa ndiye amefundisha hayo, sisi hatuwafuati waarabu kwani uislamu ni dini ya waarabu peke yao? ndio maana kuna wabobezi wengine kielimu ni waafrika weusi tii, na waarabu wanakaa chini yao wanasoma.
Hahaha nani kaweka utaratibu wa kuzika mtu Kama sio muarabu?
 
Nakujibu hivi,kidini hakuna sheria inayotaka Mtu azike siku hiyo hiyo Wala akae mwaka pindi akifa ktk uislam mfano (ntasahihishwa)ni Sunna kuzika mapema maana aliyekufa ndo kafa kuendelea kumuweka ni kuzidisha huzunii na maombolezo kitu ambacho kwetu sisi kimekatazwa kulia Kwa maombolezo...
Na Mtume s.a.w anasema,Mtu akifa azikwe haraka km kheri akakutame nayo na Shari akakutane nao
Then kwetu sisi kuzika ni faradhi isiyo ya lazima watu 40 wakiswalia mayyit akazikwe,kumsubiri nani sijuii nani Haina haha ila km mnataka mnamsubiri pia na ikijuzu msafirisheni pia maana km Kila mwanadamu Mungu anajua ardhi ya kuzaliwa basi ndo Mungu hujua yeye udongo wako Wa kuzikwa pia...
Mnisahihishe nilipokosea bila matusi wala kejeli
Upo sahihi
 
WAJANJA WANAKUCHEKA JINSI UNAVYOFANYA MAMBO YA KIJINGA..

FICHA UJINGA.
AKILI ZAKO ZKO KWENYE TRAKOO SASA MM WAKINICHEKA NAPUNGUKIWA NN NA HAWANIJUI WALA SIWAJUI!

UNAAKILI ZA KIKE KUWAONEA AIBU WANAUME WENZIO, HIVI HATA KUTONGOZA UNAWEZA WW?

1684043488609.png
 
Nakujibu hivi,kidini hakuna sheria inayotaka Mtu azike siku hiyo hiyo Wala akae mwaka pindi akifa ktk uislam mfano (ntasahihishwa)ni Sunna kuzika mapema maana aliyekufa ndo kafa kuendelea kumuweka ni kuzidisha huzunii na maombolezo kitu ambacho kwetu sisi kimekatazwa kulia Kwa maombolezo...
Na Mtume s.a.w anasema,Mtu akifa azikwe haraka km kheri akakutame nayo na Shari akakutane nao
Then kwetu sisi kuzika ni faradhi isiyo ya lazima watu 40 wakiswalia mayyit akazikwe,kumsubiri nani sijuii nani Haina haha ila km mnataka mnamsubiri pia na ikijuzu msafirisheni pia maana km Kila mwanadamu Mungu anajua ardhi ya kuzaliwa basi ndo Mungu hujua yeye udongo wako Wa kuzikwa pia...
Mnisahihishe nilipokosea bila matusi wala kejeli
Neno sunna linawapa taabu sana watu wengi....

ila kifupi sana sio kila kiitwacho sunna una hiyari ya kutokukifanya.
 
Utakuta shekhe/ustadhi/kijana wa kislamu amevimba mishipa ya shingo akiisifia Quran kuwa ni kitabu cha pekee kilichotunzwa toka karne ya 7, kwamba kina mambo ya sayansi toka karne hiyo na kimetukuka. Hapo wakifikiri karne ya 7 ni mbali sana.

Ngoja niwape shule kidogo; unajua hiyo karne ya 7 imetokanaje?

Basi tambua leo kuwa huo ni mpangilio wa miaka ya Wakristo toka kuzaliwa Kristo. Karne ya 7 ni miaka 600 toka kuzaliwa Kristo. Ndio maana inaandikwa 600 B.K (Baada ya Kristo) ama AD kwa English. Hivyo ni hesabu za Wakristo toka Bwana wao alipozaliwa. Hivyo msije fikiri ni mbali sana hiyo karne ya 7. Muelewe tu kuwa nyuma ya kuzaliwa Kristo kulikuwa na maelfu ya miaka. Na toka kuzaliwa kwake hadi sasa ni miaka 2000 imepita.

Hivyo basi Uislamu na Muhamad na Quran ni wageni tu hapo nyuma. Walikuta tayari kuna dini, serikali, maarifa na sayansi. Hata ukisikia islamic golden age ni wakati wa utawala wa Ukhalifa wa Abasia mnamo karne ya 8 baada ya Kristo. Hawa walichota mengi kwa Wakristo, Wagiriki, Warumi na Wayahudi na kuyaweka pamoja hapo Baghdad. Na wakati huo ndio hadithi za Muhamad ziliandikwa kwa 90%. Huu wakati ndio unaitwa wakati wa dhahabu na maarifa kwa Waislamu, je ni maarifa kutoka wapi? Ni kwa wageni na si Waarabu.

Hivyo hata aina za majengo ambayo leo wanayaita msikiti ni muigo wa ujenzi wa Byzentine (Warumi/Wagiriki) na Wayahudi. Maana Muhamad hakukuta majengo katika bara Arabu zaidi ya alkaaba, sababu Waarabu waliishi kwenye mahema ama vijengo vya tembe kama vile vya Wagogo na Wanyaturu. Na hadi anakufa Waislamu hawakumiliki majengo ya kisasa na maburuji, na zaidi hawakuwa na maendeleo ya kisayansi na tekinolojia zaidi ya kuteka na kupora maeneo ya wenzao kwa upanga.

Wakati wa Khalifa Ally (khalifa wa 4 baada ya Muhamad) ndio alihamia Basra Iraq, huko ndipo wakakuta majengo na maendeleo makubwa yaliyoundwa na Wakaldayo, Wapersia, Wagiriki. Na baada ya kufa kwake (kwa kuuliwa na waislamu wenzake) ndipo familia ya kisuni ya Umayah (iliyomuua) ikaunda ukhalifa wa kifalme na kuweka ngome yao Siria iliyokuwa imejengwa na Wakristo wa Orthodoksi. Sababu ya uzuri wa Siria (Shamu) walionelea waweke ngome yao hapo. Hivyo wakabadilisha majengo ya kuabudia wakristo (aka makanisa) kuwa misikiti yakiwemo masinagogi ya Wayahudi. Na wakachukua wanasayansi na wabunifu wa Byzentine (orthodoksi) ili kuwajengea majengo kwa mithili ya majengo ya Konstantinopoli. Mfano hilo shubaka (dome) si aina ya ujenzi wa Kislamu bali kiothodoksi ambao waislamu waliomba kujengewa, maana walikuwa washamba sana (wafuga Ngamia). Hata alama nyingi katika uislamu ziliundwa wakati wa utawala wa ukhalifa wa Umayah, aliyekopa alama kibao toka kwa Waorthodoksi, Wagiriki na Warumi na kuzifanya alama za Uislamu. Mfano nyota ya pembe sita (octagon) ambayo inajulikana kama alama ya Uislamu, ni ukopaji tu.

Hivyo Uislamu ni dini iliyoundwa undwa kwa ukorombwezo wa ukopaji kutoka katika dini zilizotangulia (Wayahudi, Wakristo na Upagani). Hata hoja za kisayansi ndani ya Quran ni uzushi mtupu. Maana kama wangekuwa wajuzi wa sayansi basi leo Arabuni ingekuwa mbele kwa tekinolojia, ila ndio wapo nyuma, na kwa 99% mambo ya kitekinolojia wanafanyiwa na wazungu.

Waislamu muelewe tu sayansi na tekinolojia zilikuwepo hata kabla ya Quran. Mjiulize Nuhu aliwezaje kujenga meli kubwa kama ile (Safina)? Mjiulize Nimrod aliwezaje kujenga Mnara (gorofa) refu pata ile? Au hamjui vipimo vya ujengaji? Muwaulize mainjinia wa majengo watawaambia. Ama mjiulize Mafarao walipata wapi ujuzi wa kujenga mapiramidi yenye mita 200? tena yenye vipimo vyenye mkabala wa nyota za angani, na mianga ya jua? Hivi unaelewa mita 200 wewe? Ni viwanja viwili vya mpira. Angalieni majengo ya kushangaza huko Ugiriki na Rumi, yamejengwa kwa ustadi sana. Huko America jamii ya Mayan imeacha historia ya ajabu, walijenga na kubuni vitu vya ajabu sana. Eti Quran imeelezea bing bang? Unajua hiyo dhana imetokanaje?

Sikiliza, Quran haina jipya, hata uduara wa dunia ulijulikana enzi za Mafarao, angalia Wagiriki wana sanamu zimeshika duara ya dunia toka miaka hiyo. Hata Ayubu na Isaya wa Biblia kabla ya Mgiriki walitambua dunia ni duara na inaelea angani. (Ayubu 26:7; Isaya 40:22). Je Muhamad alikuwepo ama Quran?

Hivyo Quran haina jipya zaidi ya masimulizi ya visa vilivyotokea nyuma hasa kwenye Biblia. Na zile hadithi za apokrifa za Kikristo, Kiyahudi na kipagani ndio zimejazana humo. Na ndio maana Quran haina mpangilio zaidi ya kurukaruka habari. Na ukubwa wa Quran ni unazidiwa na agano jipya la Biblia. Na Quran haijitoshelezi kuunda Uislamu, inaunda Uislamu kwa % chache na sehemu inayobakia imeundwa na hadithi za Muhamad, Fiqh na hoja za maulamaa (wasomi).

Hilo jengo la dome of the rock hapo Yerusalem, (angalia picha) lilijengwa na injinia toka Byzentine (muorthodoksi), limejengwa mithili ya majengo ya kifalme na kikanisa ya Konstantinopoli. Khalifa wa Umayad alipendelea hivyo mnamo karne ya 8 na akajenga msikiti wa Alaqsa kando ambao Waislamu walipotoshwa wakifikiri ulikuwepo toka enzi za Suleman. Alijenga kwa kuficha uchi wa Muhamad aliyedai alienda hapo usiku kimuujiza katika safari inayojulikana kama Isra al miraj na kukuta msikiti wa Suleman na manabii wote akawasalisha kisha akaenda hadi mbingu ya saba na kuonana na Allah. Umar alipokuja kuivamia Yerusalem mnamo 634 B.K hakukuta msikiti hapo, akashangaa. Huenda alijisema moyoni mtume alituchapa kamba. . Zaidi alikuta kanisa la Orthodoksi na uwanja (eneo) tupu wa hekalu (unaojulikana kama temple mount) naam hekalu la zamani la Wayahudi. Myahudi Kaab aliyesilimu ndio alimwonesha Umar eneo ambalo lilikuwepo hekalu la Suleman, ndipo akajenga msikiti wa miti hapo kwa aibu na baadae karne ya 8 katika utawala wa Umaya ndipo wakajenga msikiti wa Alaqsa ambao umekuwa tatizo hadi leo hivi.

Najua Waislamu mtaumia lakini ndio ukweli, vumilieni muelimike
Umekuwa kama poyoyo unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe

Post yako ya juu umesema Quran Ina contradiction katika habari za kisayansi

Haya ndio maelezo yako

contradictions and serious scientific flaws in this essay by using authentic Quranic verses and Sahi hadiths, hence categorically proved that Qur’an was man made book.

Nimekuonyesha kuwa Quran Haina shida katika habari zake ila wewe kichwa chako ndio kina shida

Na nikakupa Aya zinanoekezea chanzo Cha ulimwengu na nika conclude kuwa Big burn wamekopi ndani ya Quran

Asili ya ulimwengu / wazungu wakaita big burn theory

Quran 21:104
Siku tutakapo zikunja mbingu kama mkunjo wa karatasi za vitabu. Kama tulivyo anza umbo la mwanzo tutalirudisha tena. Ni ahadi iliyo juu yetu. Hakika Sisi ni watendao.

Hapo Quran inasema umbo la kwanza la mbingu/ ulimwengu lilikuwa kama kitabu na Quran inasema Kuna siku itafika hilo umbo litarudi tena

Haya mbingu ilikuwa kama kitabu Nini kikatokea Hadi ukawepo hu ulimwengu uliyopo Leo

Qurani 21:30
Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai?

Allah anasema mbingu na aridhi zilikuwa zimeambatana Yani ndio hilo umbo la kitabu Kisha akazibabandua

Hivyo basi Quran inasema
1) Dunia ulimwengu ulikuwa kitu kimoja kama kitabu

2) Kisha zikaachanishwa na limetumika neno kubabandua it means Kuna energy hapo ilitumika Ili kuviachanisha

Big burn theory inasema
1) Ulimwengu ulikuwa kama sahani

2) Ukatokea muwako energy kuitenganisha ndio zikapatikana Sayari, nyota na mbaramwezi

Maana yake hapo big burn theory wamekopi katika Quran Kwa sababu Quran imesema haya mambo karine ya 5 na big burn theory ni idea ya karine ya 17

Ukaja na post yenye maelezo hayo hapo chini

Waislamu muelewe tu sayansi na tekinolojia zilikuwepo hata kabla ya Quran. Mjiulize Nuhu aliwezaje kujenga

Sasa tukueleweje hoja yako nini
kuwa Quran Ina contradiction katika habari za kisayansi?

Au habari za kisayansi za ndani ya Quran sio mpya zilikuwepo kabla ya Qurani ?

Yani haueleweki alafu unavyo onekana ni mtu mzima ila hoja zako ni kama zile tabia za mwanamke malaya
 
Quran says dunia, science says ulimwengu. Au hujui kusoma tukurudishe nursery.
 
Nikichojifunza kwenye mijadala mingi ni kwamba, waislam hutoa aya za Quran ama hadith za mtume kama ushahidi, LAKINI wakristo hawafanyi hivyo ; hawatoi hata aya ya Biblia kuthibitisha mambo au jambo Lao. Instead wamekuwa watu wa ku react na kuanza kutukana upande wa pili.

Kama waislam wame copy kutoka kwenye kitabu chenu, si mtoe hizo aya tuzisome…
 
Back
Top Bottom