Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Mtume Mwamposa?Hivi kuna Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyekufa na Maiti yake ikaa zaidi ya siku moja bila kuzikwa?
Waisilamu wao mtu akifa huzika siku hiyohiyo,lakini Wakristo wanaweza kukaa na mwili wa marehemu zaidi ya siku moja,Je ni upi utaratibu wa Mungu?
Mkuu Mashariki ya kati ukikaa na maiti siku mbili si lazima inuke sababu ya hali ya hewa?Hivi kuna Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyekufa na Maiti yake ikaa zaidi ya siku moja bila kuzikwa?
Waisilamu wao mtu akifa huzika siku hiyohiyo,lakini Wakristo wanaweza kukaa na mwili wa marehemu zaidi ya siku moja,Je ni upi utaratibu wa Mungu?
Watakwambia zamani hakukua na frijiHivi kuna Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyekufa na Maiti yake ikaa zaidi ya siku moja bila kuzikwa?
Waisilamu wao mtu akifa huzika siku hiyohiyo,lakini Wakristo wanaweza kukaa na mwili wa marehemu zaidi ya siku moja,Je ni upi utaratibu wa Mungu?
Bora umeongea mkuu.Hao unaowaita mitume wa mungu, aliekwambia kwamba Mungu ndie aliewatuma ni nani? Wao wenyewe kujiita mitume na kusema wametumwa na Mungu ama Mungu mwenyewe kuwatangaza kwamba amewateua na kuwatuma?
Kwani mtu akifa na akazikwa leo ama wiki ijayo ama mwaka ujao unaathiri nini mipango ya mungu dhidi ya huyo mtu? Na what if asipozikwa akakaushwa na kuwekwa maonyesho, Mungu anaathirika na nini?
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
Waislamu unadhani wanaelewa bac wao Cha Miaka 1000 iliyopita wanalazimisha iwe sheria mpaka Leo ukiwabishia wanakuambia tusipofanya tunaunguzwa ukiuliza unajuaje mtume kasema..acha tu jamani.Walikuwa wanazika haraka kwa sabb kulikuwa hamna tecknolojia ya kuhifadhi maiti.
Mafundisho ya mwarabu ni vitisho tu. Yaani hakuna kutumia mantiki, ukifanya hivyo unaambiwa unakufuru.Waislamu unadhani wanaelewa bac wao Cha Miaka 1000 iliyopita wanalazimisha iwe sheria mpaka Leo ukiwabishia wanakuambia tusipofanya tunaunguzwa ukiuliza unajuaje mtume kasema..acha tu jamani.
Mungu wetu sio Mungu wa wafu, yeye ni Mungu wa walio hai kwa hiyo mambo ya kuzika wafu hana utaratibu nayo.Hivi kuna Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyekufa na Maiti yake ikaa zaidi ya siku moja bila kuzikwa?
Waisilamu wao mtu akifa huzika siku hiyohiyo,lakini Wakristo wanaweza kukaa na mwili wa marehemu zaidi ya siku moja,Je ni upi utaratibu wa Mungu?
Quran 20:9Hao unaowaita mitume wa mungu, aliekwambia kwamba Mungu ndie aliewatuma ni nani? Wao wenyewe kujiita mitume na kusema wametumwa na Mungu ama Mungu mwenyewe kuwatangaza kwamba amewateua na kuwatuma?
Kwani mtu akifa na akazikwa leo ama wiki ijayo ama mwaka ujao unaathiri nini mipango ya mungu dhidi ya huyo mtu? Na what if asipozikwa akakaushwa na kuwekwa maonyesho, Mungu anaathirika na nini?
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
Mi nishaachana na hekaya zaoMafundisho ya mwarabu ni vitisho tu. Yaani hakuna kutumia mantiki, ukifanya hivyo unaambiwa unakufuru.
Ukajiona ukileta mstari wa Quran umeleta bonge la ushahidi. Ngoja nilete ushahidi kwamba batman tupo kwenye kitabu Cha DC superheroes.Quran 20:9
Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?
10
Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye mot
11
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
12
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
13
Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.
14
Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na ushike Sala kwa ajili ya kunikumbuka Mimi.
Kwa bahati mbaya uliyonayo Mungu alishaa jifunua Kwa watu na ameshafunga huo ukurasa kilichobaki Sasa ni kuwajua watu wenye akili na watu ambao ni vilaza
Unajua Kwa nini Mungu alifunga huo ukurasa ? Ni Kwa sababu wajinga hawaishi kuzaliwa
Yani hata kama Leo hii Mungu atajifunua kwako na wewe ukaamini Kwa kuona ishara zake kuwa kweli Mungu yupo miaka 50 au 100 ijayo atatokea mtu kilaza na mjinga kama wewe atasema hakuna Mungu hu ulimwengu na viumbe vilivyopo vimezuka tu from no where
Quran 20:9

So kitabu kipi Cha ukweli? Na kwanini na Kama point yako ni mda basi uhindu ndo wa ukweli coz ulikuwepo kabla ya wote hao 3000BCUJINGA KATIKA DINI YA MOOD.
QURAN 34.44
QURAN 62.3
Quran 16.43.
Quran 16.125
Hizi Aya zoote zinakiridini/Imani ya UKRISTO na UYAHUDI vitabu vyao vilitanguli kabla Ya uislamu.
WAO WATAKWAMBIA MANABII WOTE NI WAISLAMU. NJE YA QURAN HAKUNA UISLAMU.
JARIBUNI KUAMINI VITABU VILIVYO TANGULIA.
Agano la kale katika Biblia limeandikwa miaka zaidi ya 3200 iliyopita wakati Agano Jipya limeandikwa miaka 2000.
Hiyo Quran imeandikwa miaka 1400 iliyopita.
Ukiwa na akili tu lazima ujuwe ni kipi kitabu cha ukweli.
UFUNUO UNAITA DINI HIYO NI SHIMO LA KUZIMU