Wakristo na Waisilamu tujadili vifo vya Mitume

Kuzika ni ibada, kwa maana hiyo tayari ina muongozo maalumu kwa lugha ya kisomi tunasema ni jambo tawqiyfiyyah, yaani tunalazimika kufuata Qur'an na sunnah katika maziko yetu na si kufuata ada za watu.

Katika uislamu ni utaratibu wa lazima kumfanyia maiti mambo manne, kumuosha, kumkafini kwa sanda, kumswalia na kumzika, yote haya yamewekewa taratibu maalumu na yanatakiwa kufanywa kwa uharaka mkubwa.

Ama suala la kusafirisha ni suala la haramu isipokuwa kwa dharura kubwa ya kusababisha hilo, kama vile kukosekana makaburi ya waislamu katika mji huo hivyo inabidi kumpleka mji wa karibu ili akazikwe kwenye makaburi ya waislamu n.k, ama kwa nyakati tulizonazo hakuna udharura huo kwa kiasi kikubwa.

Hili jambo ni la haramu kabisa mtu azikwe katika ardhi aliyofia na hata kama aliusia kabla ya kufa kwake kuwa asafirishwe kwenda mahali fulani basi wasia wake hautekelezwi kwa ule udharura wa kufuata muongozo wa Qur'an na sunnah katika hili.
 
Katika watu wote wewe ndiye umetoa jibu la kweli
 
Ooh!!! nashukuru sana!kwa elimu hii

Maana ujue wengine sio wajuzi sana
 
point safi ila kwenye mungu hayupo hapo mmmmhhh😏😏😏
 
Nani kasema kuzika ni Ibada, aaah ni mwarabu basi basi yaishe.
 
Nani kasema kuzika ni Ibada, aaah ni mwarabu basi basi yaishe.
Nani kasema kuzika ni Ibada, aaah ni mwarabu basi basi yaishe.
Alieweka utaratibu wa kufa ndiye amefundisha hayo, sisi hatuwafuati waarabu kwani uislamu ni dini ya waarabu peke yao? ndio maana kuna wabobezi wengine kielimu ni waafrika weusi tii, na waarabu wanakaa chini yao wanasoma.
 
Hiyo Aya wagalatia kwa kukosa akili mumeielewa au mumeitafsiri kimakosa halafu eti mnatoka nayo kifua mbele kwamba mumepata mahala pa kuituhumu Quran tukufu kuwa ni kitabu Cha shetani.
Japo najua mnajua kuwa mnawadanganya na mnawapotosha wakristo wenzenu kwa maksudi hali mkijua kuwa tafsiri yenu juu ya Aya hiyo siyo tafsiri sahihi nasema kwamba tafsiri sahihi ni kwamba "HUYO MALAIKA JIBRILI NDIYE ALIYEITEREMSHA QURAN KWENYE MOYO WAKO KWA IDHINI YA ALLAAH"
{ قُلۡ مَن كَانَ عَدُوّٗا لِّـجِبۡرِيلَ فَإِنَّهُۥ نَزَّلَهُۥ عَلَىٰ قَلۡبِكَ بِإِذۡنِ ٱللَّهِ مُصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيۡهِ وَهُدٗى وَبُشۡرَىٰ لِلۡمُؤۡمِنِينَ }
[Surah Al-Baqarah: 97]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini."
Halafu tangu lini shetani afanye jambo kwa idhini ya Allaah?!
ACHENI UPOTOSHAJI ENYI WAGALATIA MSIOKUWA NA AKILI.
"Narudia kusema maana ya Aya hiyo ni kwamba "Aliyekuwa adui wa jibrilu basi aelewe kuwa huyo jibrilu ndiye kaiteremsha Quran juu ya moyo wako kwa idhini ya Allaah."
 
Alieweka utaratibu wa kufa ndiye amefundisha hayo, sisi hatuwafuati waarabu kwani uislamu ni dini ya waarabu peke yao? ndio maana kuna wabobezi wengine kielimu ni waafrika weusi tii, na waarabu wanakaa chini yao wanasoma.
Hahaha nani kaweka utaratibu wa kuzika mtu Kama sio muarabu?
 
Upo sahihi
 
WAJANJA WANAKUCHEKA JINSI UNAVYOFANYA MAMBO YA KIJINGA..


FICHA UJINGA.
AKILI ZAKO ZKO KWENYE TRAKOO SASA MM WAKINICHEKA NAPUNGUKIWA NN NA HAWANIJUI WALA SIWAJUI!

UNAAKILI ZA KIKE KUWAONEA AIBU WANAUME WENZIO, HIVI HATA KUTONGOZA UNAWEZA WW?

 
Neno sunna linawapa taabu sana watu wengi....

ila kifupi sana sio kila kiitwacho sunna una hiyari ya kutokukifanya.
 
Umekuwa kama poyoyo unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe

Post yako ya juu umesema Quran Ina contradiction katika habari za kisayansi

Haya ndio maelezo yako

contradictions and serious scientific flaws in this essay by using authentic Quranic verses and Sahi hadiths, hence categorically proved that Qur’an was man made book.


Nimekuonyesha kuwa Quran Haina shida katika habari zake ila wewe kichwa chako ndio kina shida

Na nikakupa Aya zinanoekezea chanzo Cha ulimwengu na nika conclude kuwa Big burn wamekopi ndani ya Quran

Asili ya ulimwengu / wazungu wakaita big burn theory

Quran 21:104
Siku tutakapo zikunja mbingu kama mkunjo wa karatasi za vitabu. Kama tulivyo anza umbo la mwanzo tutalirudisha tena. Ni ahadi iliyo juu yetu. Hakika Sisi ni watendao.

Hapo Quran inasema umbo la kwanza la mbingu/ ulimwengu lilikuwa kama kitabu na Quran inasema Kuna siku itafika hilo umbo litarudi tena

Haya mbingu ilikuwa kama kitabu Nini kikatokea Hadi ukawepo hu ulimwengu uliyopo Leo

Qurani 21:30
Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai?

Allah anasema mbingu na aridhi zilikuwa zimeambatana Yani ndio hilo umbo la kitabu Kisha akazibabandua

Hivyo basi Quran inasema
1) Dunia ulimwengu ulikuwa kitu kimoja kama kitabu

2) Kisha zikaachanishwa na limetumika neno kubabandua it means Kuna energy hapo ilitumika Ili kuviachanisha

Big burn theory inasema
1) Ulimwengu ulikuwa kama sahani

2) Ukatokea muwako energy kuitenganisha ndio zikapatikana Sayari, nyota na mbaramwezi

Maana yake hapo big burn theory wamekopi katika Quran Kwa sababu Quran imesema haya mambo karine ya 5 na big burn theory ni idea ya karine ya 17

Ukaja na post yenye maelezo hayo hapo chini

Waislamu muelewe tu sayansi na tekinolojia zilikuwepo hata kabla ya Quran. Mjiulize Nuhu aliwezaje kujenga


Sasa tukueleweje hoja yako nini
kuwa Quran Ina contradiction katika habari za kisayansi?

Au habari za kisayansi za ndani ya Quran sio mpya zilikuwepo kabla ya Qurani ?

Yani haueleweki alafu unavyo onekana ni mtu mzima ila hoja zako ni kama zile tabia za mwanamke malaya
 
Quran says dunia, science says ulimwengu. Au hujui kusoma tukurudishe nursery.
 
Nikichojifunza kwenye mijadala mingi ni kwamba, waislam hutoa aya za Quran ama hadith za mtume kama ushahidi, LAKINI wakristo hawafanyi hivyo ; hawatoi hata aya ya Biblia kuthibitisha mambo au jambo Lao. Instead wamekuwa watu wa ku react na kuanza kutukana upande wa pili.

Kama waislam wame copy kutoka kwenye kitabu chenu, si mtoe hizo aya tuzisome…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…