Hapa nataka watu wajifunze Uisilamu. Wanausikia sikia tu. Ila hawaufahamu. Sasa ni muda wa kuufahamu. Nasisitiza. Hatutaki matusi na kashfa kwa uzi huu. Ni uzi wa kutoa Elimu naomba moderators msiingie kwenye mtego. Mimi niliyeuanzisha sina Dini. Ila nlikuwa Muisilamu na si mbaya nikiwaambia watu wajifunze.
Tuujue utusaidie nini? Hivi mwafrika utakuwa na akili timamu Karne ya Sasa hivi ukakariri ma Mila na desturi ya kiarabu ya kale na kutelekeza Mila zako useme ndio unaijua dini?
Kuchoshana akili tu!Dunia Ina maneno mengi na kanuni kibao wakati mafanikio ni ya wachache Tena wasiofuata kanuni zinazohubiriwa!!
Mafanikio bila umwagaji damu,umafia,uchawi,wizi ujanja ujanja!utayasikia kwa jirani tu!