Ghayo TheMongo Barbarian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 248
- 501
Haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutafanya makusanyiko mpaka tuchokeMambo ya Walawi 23:3-8
[3]Mtafanya kazi siku sita; lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu; msifanye kazi ya namna yo yote; ni Sabato kwa BWANA katika makao yenu yote.
Six days shall work be done: but the seventh day is the sabbath of rest, an holy convocation; ye shall do no work therein: it is the sabbath of the LORD in all your dwellings.
[4]Sikukuu za BWANA ni hizi, ni makusanyiko matakatifu, ambayo mtayapigia mbiu kwa nyakati zake.
These are the feasts of the LORD, even holy convocations, which ye shall proclaim in their seasons.
[5]Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni pasaka ya BWANA.
In the fourteenth day of the first month at even is the LORD'S passover.
[6]Na siku ya kumi na tano ya mwezi ule ule ni sikukuu kwa BWANA ya mkate usiotiwa chachu; mtaila mikate isiyochachwa muda wa siku saba.
And on the fifteenth day of the same month is the feast of unleavened bread unto the LORD: seven days ye must eat unleavened bread.
[7]Siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu msifanye kazi yo yote ya utumishi.
In the first day ye shall have an holy convocation: ye shall do no servile work therein.
[8]Lakini mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto siku saba; siku ya saba ni kusanyiko takatifu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.
But ye shall offer an offering made by fire unto the LORD seven days: in the seventh day is an holy convocation: ye shall do no servile work therein.
Ukiangalia hapo mstari wa 5 anasema mwezi wa kwanza simu ya 14 ndio pasaka.Je,hiyo mwezi wa 4 ambayo ndio saivi tunasherehekea pasaka ilitoka wapi?
Mmh!kwahiyo unataka kumaanisha kwamba wakati mwingine wasio amini hizi dini wako sahihi na hawana hatia mbele ya mungu.Bible sisi watu wa kawaida hatuwezi kuielewa kiundani kwa sababu vitabu vyenye majibu ya msingi viliondolewa.
Ukiconcentrate sana na bible utachanganyikiwa.
Hivi haujiulizi kwa nini kusomea Theolojia ni ngumu kiasi hiko?
Na mara nyingi huwa wanachukuliwa wale vipanga kabisa.
Imagine kusomea Upadre tu ni miaka 14, hapo bado haujapewa Uaskofu.
Kwahiyo sio lazima kufatiliza yale ya agano la kale.Agano la kale lime base kwa Israelites hasa vitabu vya kutoka,Mambo ya walawi,hesabu nk hivyo tunaviita kwa pamoja Torati
Humo ndani kuna Sheria,kanuni na miongozo waliopewa Jacob's brotherhood tu na si mataifa
Wengine
Hivyo Sheria zake na kanuni hazituhusu sisi wagalatia weusi na ndio maana tukapata New Testament ikiwa ni agano la Bwana Yesu Kristo
Kwa watu wote Ulimwenguni ila hivyo vitabu vinatumika kama reference kile Mungu alifanya nini hapo kale na sasa kwako atafanya nini kulingana na agano ulilopo!
Ukielewa huu mtiririko Bible code haitakupiga chenga wala hutaumiza kichwa chako kwa maswala ya Imani!
Ufuatize kivipi wakati wewe upo agano jingine!Kwahiyo sio lazima kufatiliza yale ya agano la kale.
Ukiangalia hapo mstari wa 5 anasema mwezi wa kwanza siku ya 14 ndio pasaka.Je,hiyo mwezi wa 4 ambayo ndio saivi tunasherehekea pasaka ilitoka wapi?
Unadanganya watu Mzee, unachanganya kati ya NE TESTAMENT NA OLD TESTAMENTUfuatize kivipi wakati wewe upo agano jingine!
Kule zipo reference tu kile Mungu alifanya kwa watu wale na wewe atafanya nini kwa wakati wako!
Jibu jepesi hapa ni kwamba kuna kalenda tofauti hapa unazungumzia. Kuna kalenda ya Kiyahudi na kalenda hii unayoizungumzia inaitwa Gregorian Calendar ambayo ndiyo tunaitumia sana sana.Mambo ya Walawi 23:3-8
[3]Mtafanya kazi siku sita; lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu; msifanye kazi ya namna yo yote; ni Sabato kwa BWANA katika makao yenu yote.
Six days shall work be done: but the seventh day is the sabbath of rest, an holy convocation; ye shall do no work therein: it is the sabbath of the LORD in all your dwellings.
[4]Sikukuu za BWANA ni hizi, ni makusanyiko matakatifu, ambayo mtayapigia mbiu kwa nyakati zake.
These are the feasts of the LORD, even holy convocations, which ye shall proclaim in their seasons.
[5]Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni pasaka ya BWANA.
In the fourteenth day of the first month at even is the LORD'S passover.
[6]Na siku ya kumi na tano ya mwezi ule ule ni sikukuu kwa BWANA ya mkate usiotiwa chachu; mtaila mikate isiyochachwa muda wa siku saba.
And on the fifteenth day of the same month is the feast of unleavened bread unto the LORD: seven days ye must eat unleavened bread.
[7]Siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu msifanye kazi yo yote ya utumishi.
In the first day ye shall have an holy convocation: ye shall do no servile work therein.
[8]Lakini mtasongeza sadaka kwa BWANA kwa njia ya moto siku saba; siku ya saba ni kusanyiko takatifu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.
But ye shall offer an offering made by fire unto the LORD seven days: in the seventh day is an holy convocation: ye shall do no servile work therein.
Ukiangalia hapo mstari wa 5 anasema mwezi wa kwanza siku ya 14 ndio pasaka.Je,hiyo mwezi wa 4 ambayo ndio saivi tunasherehekea pasaka ilitoka wapi?
Hapana imeandikwa kwenye biblia haijabumbwa.Katika kusoma kwako, umeweza kujua hayo maelekezo yote wanapewa watu gani?
Pasaka mnayosherekea sasa hivi ni sikukuu ya kubumba ambayo wanadamu wameitengeneza tu na wkaaiita Easter...
Hapana imeandikwa kwenye biblia haijabumbwa.
Nadanganya nini hapo?Unadanganya watu Mzee, unachanganya kati ya NE TESTAMENT NA OLD TESTAMENT
NA NEW COVENANT NA OLD COVENANT
Kwa kiswahili unatafsiri kama kitu kimoja ,
Paulo yuko wazi kabisa kuwa habari za kale ziliandikwa ili kutuonya sisi. Biblia yasema hivi:" Basi mambo hayo yalikuwa mifano kwetu, kusudi sisi tusiwe watu wa kutamani mabaya, kama wale nao walivyotamani. (1Kor10:6). Tena Biblia yasema hivi:" Kwa kuwa yote yaliyotangulia kuandikwa yaliandikwa ili kutufundisha sisi; ili kwa saburi na faraja ya maandiko tupate kuwa na tumaini. (War15:4)
Hivyo basi hatuwezi kudai kuwa sheria ni za waisraeli pekee ama hiki ni cha waisraeli pekee maana ingetulazimu kumkataa pia Mungu au Yesu au Biblia, maana vyote walipewa waisraeli.
Bible sisi watu wa kawaida hatuwezi kuielewa kiundani kwa sababu vitabu vyenye majibu ya msingi viliondolewa.
Ukiconcentrate sana na bible utachanganyikiwa.
Hivi haujiulizi kwa nini kusomea Theolojia ni ngumu kiasi hiko?
Na mara nyingi huwa wanachukuliwa wale vipanga kabisa.
Imagine kusomea Upadre tu ni miaka 14, hapo bado haujapewa Uaskofu.
Mmmh! Tafakuri hiyoDini ni hadithi za utamaduni wa jamii za kiyahudu na kiarabu. Mungu hayupo.