Ww gegeda tu na divai dhambi zishabebwa na yesùmaswali ya nn ww kama vile unaenda kwenye msosi wa msiba wa tajir kijijini kila kitu kishalipiwaUfuatize kivipi wakati wewe upo agano jingine!
Kule zipo reference tu kile Mungu alifanya kwa watu wale na wewe atafanya nini kwa wakati wako!