S saiko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 782 Reaction score 922 Nov 9, 2024 #21 Dumas the terrible said: Ufuatize kivipi wakati wewe upo agano jingine! Kule zipo reference tu kile Mungu alifanya kwa watu wale na wewe atafanya nini kwa wakati wako! Click to expand... Ww gegeda tu na divai dhambi zishabebwa na yesùmaswali ya nn ww kama vile unaenda kwenye msosi wa msiba wa tajir kijijini kila kitu kishalipiwa
Dumas the terrible said: Ufuatize kivipi wakati wewe upo agano jingine! Kule zipo reference tu kile Mungu alifanya kwa watu wale na wewe atafanya nini kwa wakati wako! Click to expand... Ww gegeda tu na divai dhambi zishabebwa na yesùmaswali ya nn ww kama vile unaenda kwenye msosi wa msiba wa tajir kijijini kila kitu kishalipiwa
Dumas the terrible JF-Expert Member Joined Jan 20, 2021 Posts 4,779 Reaction score 9,999 Nov 9, 2024 #22 saiko said: Ww gegeda tu na divai dhambi zishabebwa na yesùmaswali ya nn ww kama vile unaenda kwenye msosi wa msiba wa tajir kijijini kila kitu kishalipiwa Click to expand... Aina hii ya Wanadamu Wana mchango mdogo sana katika ufalme wa Mungu! 😁😁
saiko said: Ww gegeda tu na divai dhambi zishabebwa na yesùmaswali ya nn ww kama vile unaenda kwenye msosi wa msiba wa tajir kijijini kila kitu kishalipiwa Click to expand... Aina hii ya Wanadamu Wana mchango mdogo sana katika ufalme wa Mungu! 😁😁