Rwetembula Hassan Jumah
Senior Member
- Jan 25, 2023
- 140
- 188
NakaziaLete picha mi mbona huwa naona wana viatu au huwa ni kiini macho.
I love 💕 Allah and his beloved prohet soooo muuuchh 😘❤️💘💕. Allah and prophet Muhammad are so Hot. Am in love. Islam is the best religion.Naomba jibu... waumini wa Roma....
Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani.
Mnajifanyaga mko na akili sana...
Wafransisko wakapuchin hao,mapadre wa mashirika mengine wanavaa viatu mbona 🤔Ni baadhi ya Mashirika tu ya Mapadre ndiyo huwa yana utaratibu huo na sio formality ya kanisa Catholic kuwa Padre akiwa kwenye adhimisho la Misa Takatifu lazima awe peku.
Pia kwa kukufahamisha tu ni kuwa hilo Shirika wana utaratibu wa kutembea peku sehemu zote wakiwa wanatembea na sio pindi wanapopanda Altareni pekee.
Atashushua na mbuzi katoliki makange, ndizi 2 na Safari lager 4.Jamaa anajitahidi kila baada ya dakika 5 anaandika uzi kuhusu Wakristo na Ukristo. Naona Answary kala Pilau la Iddi sasa anatafuta wa kupumzikia ili baadaye agonge tena ubweche.
Umeambiwa au umeona? Maana naenda kanisani zaidi ya miaka 30 sehemu mbambali duniani sijaona ulichokisema. Muulize vizuri aliyekusimulia hakika kakudanganyaNaomba jibu... waumini wa Roma....
Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani.
Mnajifanyaga mko na akili sana...
Naomba jibu... waumini wa Roma....
Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani.
Mnajifanyaga mko na akili sana...
Nimetumikia sana katoliki nikiwa mdogo - ministrant. Mpaka viatu tulikuwa tunawabrashia mapadiri ili wavae vikiwa safi wakiongoza ibada