Wakristo, tena nyie Roman mbona padri akipanda madhabahuni anakuwa hajavaa viatu?

Mtoa mada Hana tofauti na Mpwayungu hivyo apuuzwe tu ni aina ya watu wenye stress na Hana ramani
 


MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
 
Naomba jibu, waumini wa Roman Catholic.

Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani. Mnajifanyaga mko na akili sana.
Weweee! Umeenda kanisani lini? Na parokia Gani? Wanao tembea peku ni shirika la wakapuchini, wao natembea peku maisha Yao yote. Hivyo uende kanisani kusali jumapili ama Misa za kila siku asubuhi utaona, alafu Rudi kwenye hoja
 
Shirika gani mkuu
 
Mleta mada wewe ni mbumbumbu muulize vizuri mumeo ukweli kuhusu usemacho.
 
Ant majnun
 
MUNGU HAANGALII VIATU ANAANGALIA MOYO WAKO.

USAFI WA VIATU WALA MIGUU HAVIWEZI KUKUPELEKA MBINGUNI.

Heri wenye Moyo safi maana hao watamuona Mungu.
Mathayo 5 : 8.

Hayo ni maneno ya mtu aliyepewa jina la Mathayo ,si ya Mungu
 
What is religion? Christians are followers of Jesus Christ and its not religion. That is all, Religion is for moslems.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…