Wakristo tuache upumbavu wa kuuziwa maneno na wahubiri matapeli

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Kwa jina la Yesu × 100. Kwa damu ya Yesu× 100, Nakataa, navunja kila aina ya uonevu. × 100 raparakashaaaaaa, horooooshiba sakorabokoo shakantilal nakataa kuonewa rapa shakaraaaaraaata. kwa damu ya mwana kondoo nakataaa.

Eperiiya shakatabaka, iperrerebiya , kwa jina la Yesu🙂🙂 Jina la Yesu! Mara mia ngapi? Ni fuel ya kuweka kwenye gari uipimie kipimo kinachotosha.

Nawasihi hata ndugu zetu wa imani zingine BAKI HUKO ULIPO. Ukristo umekuwa imani ya utapeli na upumbavu mtupu. Watu wamegeza ukristo kuwa dili ya kupiga pesa. Amkeni enyi watu. Mungu ni baba wa wote. Wakataeni hawa matapeli ambao sasa wamepata maficho ya kutapeli taifa letu na hakuna anayewagusa.
 
Wa kuliwa wataliwa mkuu
Serikali yetu iko wapi katika hili. Serikali kutokuwa na dini is by no means an excuse kuachia hii holelaholela. Leo mtu akianzisha kanisa ambalo waumini wanatakiwa kula dawa za kulevya kanisani halitakubalika.Maana hata methali ya kiswahili husema MWANZO WA NGOMA NI LELE. Tusisubiri mpaka watu wafe ndioo tuje na zimamoto.
 
Sasa hapo ulikuwa unanena kwa lugha, lugha ya roho mtakatifu, lugha ya mbinguni ambayo shetani haielewi japo lusifa alikuwepo huko kabla ya kutupwa chini, ni kweli unanena au unafanya mzaha? Huwezi kuwaambia watu wabaki hukohuko wanakoabudu. Inaelekea mambo ya kiroho huyajui na huna tofauti na hao unaowashutumu ni wapigaji
 
Na niwaambie ukweli ninyi mnaofuata hao mitume na manabii kwamba huyo Yesu wanayemtaja siyeÿ na wala Yesu mwenyewe wala hawatambui. Ni matapeli tu hata nikikaa nao kwenye Biblical Theology au Biblical exegesis hawana lolote japo wapo wana vyeo vya Ph.D uchwara
 
Sasa hapo ulikuwa unanena kwa lugha, lugha ya roho mtakatifu, lugha ya mbinguni ambayo shetani haielewi japo lusifa alikuwepo huko kabla ya kutupwa chini, ni kweli unanena au unafanya mzaha? Huwezi kuwaambia watu wabaki hukohuko wanakoabudu. Inaelekea mambo ya kiroho huyajui na huna tofauti na hao unaowashutumu ni wapigaji
Asante kwa mchango wako. Lugha ya mbinguni inatamkika kwa ulimi huu wa nyama na damu? Tuanzie hapo. Maana mbinguni unakosema hatuendi huko na hii miili yetu
 
Sasa hapo ulikuwa unanena kwa lugha, lugha ya roho mtakatifu, lugha ya mbinguni ambayo shetani haielewi japo lusifa alikuwepo huko kabla ya kutupwa chini, ni kweli unanena au unafanya mzaha? Huwezi kuwaambia watu wabaki hukohuko wanakoabudu. Inaelekea mambo ya kiroho huyajui na huna tofauti na hao unaowashutumu ni wapigaji
Lugha ya roho mtakatifu??? Umempa Mungu jina jingjne au na wewe upo kwenye yale mafundisho kwamba kuna miungu watatu lakini kwa sababu tabia yao na asili yao ni moja basi hao watatu ni mungu mmoja. Theology ya kipumbavu kabisa😆
 
Back
Top Bottom