Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Njaa mbaya sanaWadau hamjamboni nyote?
Nasema Kwa dhatinya moyoni ndugu zetu ni wakarimu sana kutuzidi
Mimi ni Mkiristo lakini nitumie fursa hii kuwapongeza sana Waislamu walio kwenye mfungo Kwa kuonyesha ushirikiano mkubwa baina Yao na wengineo wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan.
Kwao utapata futari bila kujali Imani yako au kuulizwa unakotokea tena bila manyanyaso au kuulizwa mwaliko
Ndugu zangu wakiristo tunamengi ya kujifunza kutoka kwa ndugu zetu Waislamu
Wadau hamjamboni nyote?

Acha kuwaza kula kula. Waza namna ya kuwasaidia wahitaji, sio wafuturuji. Funga, hela au mali unayookoa nenda kamsomeshe VETA mtoto walau mmoja wa familia iliyokwama. Ukarimu sio kwa mambo ya muda mfupi kama futariMimi ni Mkiristo lakini nitumie fursa hii kuwapongeza sana Waislamu walio kwenye mfungo Kwa kuonyesha ushirikiano mkubwa baina Yao na wengineo wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan.
kitu kingine mkuu usichokijua tofauti yetu na waislamu , wakristo wengi hatufungi kula kama waislamu wengi hufanyanyo bali sisi tumejikita kufunga matendo yetu maovu na kijikita kuomba toba na kusali sana huku ukiwa mtu wa kusaidia wengine wasiojiwezi ndio wakristo wengi mfungo wao upo hivyo tofauti na waislamu wao pia hufanya vyote wakristo hapo wanavyofanya ila kwenye kufunga hufunga mpk kula na ni lazima kwa muislamu kufanya hivyo labda uwe na shida binafsi na ukipona utazifidia siku hizo mbeleni huko ndio maana huwezi ona wakristo wamekaa wanafuturu wote sehemu moja kama waislamu hufanya kukaq nje ya nyumba zao na kula futari yao kwahiyo hatutaweza kufanana ....sema tu uache uroho 😂 mleta madaWadau hamjamboni nyote?
Nasema Kwa dhatinya moyoni ndugu zetu ni wakarimu sana kutuzidi
Mimi ni Mkiristo lakini nitumie fursa hii kuwapongeza sana Waislamu walio kwenye mfungo Kwa kuonyesha ushirikiano mkubwa baina Yao na wengineo wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan.
Kwao utapata futari bila kujali Imani yako au kuulizwa unakotokea tena bila manyanyaso au kuulizwa mwaliko
Ukweli wanatimiza amri ya upendo kikamilifu kama ilivyoagizwa kwenye Vitabu vitukufu
Ndugu zangu wakiristo tunamengi ya kujifunza kutoka kwa ndugu zetu Waislamu
Hujaongea baya ila ona unavoshambuliwa,yaani watu wanaongozwa sana na hisia kuliko fikra!Wadau hamjamboni nyote?
Nasema Kwa dhatinya moyoni ndugu zetu ni wakarimu sana kutuzidi
Mimi ni Mkiristo lakini nitumie fursa hii kuwapongeza sana Waislamu walio kwenye mfungo Kwa kuonyesha ushirikiano mkubwa baina Yao na wengineo wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan.
Kwao utapata futari bila kujali Imani yako au kuulizwa unakotokea tena bila manyanyaso au kuulizwa mwaliko
Ukweli wanatimiza amri ya upendo kikamilifu kama ilivyoagizwa kwenye Vitabu vitukufu
Ndugu zangu wakiristo tunamengi ya kujifunza kutoka kwa ndugu zetu Waislamu
Justice for PalestineUwe makini na njaa yako, usije ukauza haki ya uzaliwa wako wa kwanza
Sasa kama umeshindwa kumsaidia mtu sahani ya wali ya buku 2 ndio utaweza kumlipia ada ya milioni?Acha kuwaza kula kula. Waza namna ya kuwasaidia wahitaji, sio wafuturuji. Funga, hela au mali unayookoa nenda kamsomeshe VETA mtoto walau mmoja wa familia iliyokwama. Ukarimu sio kwa mambo ya muda mfupi kama futari
Watasema wewe ni muislamu unajipigia promoWadau hamjamboni nyote?
Nasema Kwa dhatinya moyoni ndugu zetu ni wakarimu sana kutuzidi
Mimi ni Mkiristo lakini nitumie fursa hii kuwapongeza sana Waislamu walio kwenye mfungo Kwa kuonyesha ushirikiano mkubwa baina Yao na wengineo wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan.
Kwao utapata futari bila kujali Imani yako au kuulizwa unakotokea tena bila manyanyaso au kuulizwa mwaliko
Ukweli wanatimiza amri ya upendo kikamilifu kama ilivyoagizwa kwenye Vitabu vitukufu
Ndugu zangu wakiristo tunamengi ya kujifunza kutoka kwa ndugu zetu Waislamu
Nani amekuambia waislamu wanafunga kula? Ndiyo mnavyofundishwa huko sunday school?kitu kingine mkuu usichokijua tofauti yetu na waislamu , wakristo wengi hatufungi kula kama waislamu wengi hufanyanyo bali sisi tumejikita kufunga matendo yetu maovu na kijikita kuomba toba na kusali sana huku ukiwa mtu wa kusaidia wengine wasiojiwezi ndio wakristo wengi mfungo wao upo hivyo tofauti na waislamu wao pia hufanya vyote wakristo hapo wanavyofanya ila kwenye kufunga hufunga mpk kula na ni lazima kwa muislamu kufanya hivyo labda uwe na shida binafsi na ukipona utazifidia siku hizo mbeleni huko ndio maana huwezi ona wakristo wamekaa wanafuturu wote sehemu moja kama waislamu hufanya kukaq nje ya nyumba zao na kula futari yao kwahiyo hatutaweza kufanana ....sema tu uache uroho 😂 mleta mada