Wakristo wa Chile bega kwa bega na Hamas

Wakristo wa Chile bega kwa bega na Hamas

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Padri Georges Abed wa Chile amesema mtu akitaka kumuuliza yeye kuhusu Gaza, Hamas, mauwaji na umwagikaji damu basi asifanye hivyo kwa kumchorea picha yenye ukubwa wa inchi kadhaa. Lazima achore picha kubwa ambayo itaonesha mpaka miaka 75 iliyopita.

Chile ni moja ya nchi za Latin America ambazo zimekata mahusiano ya kibalozi na Israel na imekuwa ikishiriki maandamano makubwa duniani ya kuwaunga mkono Hamas.

1699429761673.png

Christian leader appears to defend Hamas’ terror attack in Israel on Oct 7: ‘See the full picture’

View attachment 2807637

Christian leader appears to defend Hamas’ terror attack in Israel on Oct 7: ‘See the full picture’

Huyo padri hajielewi utaanzaje kuwaunga mkono magaidi walioteka watu,waliobaka,waliokata vichwa watu,waliochinja watoto

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Padri Georges Abed wa Chile amesema mtu akitaka kumuuliza yeye kuhusu Gaza, Hamas, mauwaji na umwagikaji damu basi asifanye hivyo kwa kumchorea picha yenye ukubwa wa inchi kadhaa. Lazima achore picha kubwa ambayo itaonesha mpaka miaka 75 iliyopita.

Chile ni moja ya nchi za Latin America ambazo zimekata mahusiano ya kibalozi na Israel na imekuwa ikishiriki maandamano makubwa duniani ya kuwaunga mkono Hamas.

View attachment 2807637

Christian leader appears to defend Hamas’ terror attack in Israel on Oct 7: ‘See the full picture’

1699435057235.png

Huyo padri hajielewi utaanzaje kuwaunga mkono magaidi walioteka watu,waliobaka,waliokata vichwa watu,waliochinja watoto

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mob
Huyo labda ni gaidi ila anavunga tu ukristo.
Huyo labda ni gaidi ila anavunga tu ukristo.
1699435369434.png

Huyo labda ni gaidi ila anavunga tu ukristo.
1699435430097.png
 
Hapa kuna tatizo, wakati wote mapadri wanapigania Vatican kuwa mji mtakatifu na Warumi kuwa taiga teule. Wakristu wa madhehebu wanapigani Israel kuwa taifa teule.
 
Padri Georges Abed wa Chile amesema mtu akitaka kumuuliza yeye kuhusu Gaza
Wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati wapo wengi katika bara la Marekani ya Kusini na Marekani ya Kati

The Surprisingly Deep Centuries-Old Ties Between the Middle East and Latin America​

BY CHRISTINA CIVANTOS | FEBRUARY 5, 2016
Middle Eastern immigration has influenced some of Latin America’s most iconic traditions.
history_top

Reading Time: 2 minutes
Palestinian refuges stand in line at a camp in Lebanon during the Lebanese Civil War. (Tom Stoddart Archive/Getty)

Reading Time: 2 minutes
To see our entire feature on Syrian refugees in Latin America, click here.
The first time I stepped into a Syrian home, I was greeted by a family drinking Argentine yerba mate and watching a popular Mexican soap opera dubbed into Arabic.

It was the summer of 1998, and I was in Syria researching Levantine migration to Latin America. Evidence of that migration wasn’t hard to find. As that year’s World Cup got under way, Brazilian flags unfurled from many balconies in Damascus — in honor of relatives who had moved to São Paulo and other Brazilian cities.

Those family ties stretch back as much as 150 years. Arabs have been migrating to Latin America, establishing cultural connections, and contributing to Latin America’s development since the 19th century.

Today’s influx of Syrian refugees — while a new source of debate — is only the latest chapter in a long history.

The first wave of Middle Eastern migration to Latin America lasted from the 1860s through 1914, when about 600,000 Arabic speakers from the Levant resettled in the Americas, spurred by socioeconomic and demographic factors that converged with the decline of the Ottoman Empire.

Subsequently, the 1948 establishment of Israel, the Lebanese Civil War (1975–1990), and related conflicts fueled new waves — particularly to Chile, Argentina, Brazil and Paraguay.

Some migrants later returned to their home countries, bringing back with them traces of Latin America, such as mate and even given names. In Damascus I met a Syrian student named Mario whose brother and sister were Marco and Caro.

Later, I discovered that half the inhabitants of Mario’s village had a close family member who lived, or had lived, in Venezuela — drawn there by the country’s oil boom (1950s–1970s).

Returning migrants may have been influenced by early 20th century ethnic tensions that, in some countries, took the form of discriminatory social, legal, and/or immigration practices.

In Argentina, for example, the stereotype of the “wily” Levantine immigrant peddler created a lasting association between “turcos” (immigrants from the Ottoman Empire) and corruption.

Hence, the corruption scandals of former Argentine President Carlos Menem — the son of Syrian Muslim immigrants who is known as “El Turco” — were blamed by some on his ethnoreligious origins.

Nonetheless, positive associations with Arab immigration to Latin America are forged by figures such as Mexican billionaire Carlos Slim and Colombian superstar Shakira, both of Lebanese extraction. Helping to open the door for today’s Middle East migrants, Shakira has called the current displacement of Syrians “one of the greatest humanitarian crises of our time” and summoned the world to action.

Building on historical ties, Latin America is well-positioned to respond positively to her plea.

Civantos is a researcher and associate professor of 19th- and 20th-century Spanish American and Arabic literature and culture at the University of Miami
 
Back
Top Bottom