Wakristo wa Chile bega kwa bega na Hamas

Wakristo wa Chile bega kwa bega na Hamas

Kuna wahuni ignorant wameanzisha makanisa mfu wanajiita wakristo ,hawa pimbi ndio wanaosumbua hata humu .
Wapumbavu maamuma wasiojua maandiko na wala wasio na hekima wala maarifa ya ulimwengu wala elimu ya dini (Theology ) ,ndio hao hao wako mbele kukashifu dini ya kiislamu humu
Hiyo Bible yenyewe wapumbav hawa wanaisoma na kutafsiri kama gazeti la dimba likitoa habari za simba na yanga .
Mimi ni mkristo trust me ,tena Lutheran .Wapuuzi wote wanaoandika comments za kusympathize Israel massacre na brutal occupation ya Palestine ni aina hiyo ya watu .
Ni nadra kukuta Catholic au Lutheran follower anatamka upuuzi ambao watu wengi unewajaa kwenye akili zao , hawa wakristo wanaojiita Christian evangelists ni kansa ndani ya christian community

Hii injili ya kipumbavu inayowafundisha kuona mtu flani ana thamani zaidi ya mwingine ni injili ya ibilisi wala sio injili ambayo Theology ya kweli inafundisha
Uislamu ni Kansa ya dunia,waislamu ni mumiani wanywa damu maana bila kumwaga damu hawawezi tulia.
 
SABABU ZA WAKAAZI WA MASHARIKI YA KATI KUHAMIA MAREKANI YA KUSINI KUANZIA MIAKA YA 1880

Andiko linatujuza kuwa si jambo geni kuhama kwa maelfu kwa hiyari. Andiko hili linafuatilia uhamiaji wa wahamiaji nusu milioni Waarabu kutoka Milki ya dola kubwa ya Ottoman Empire hadi bara la Amerika ya Kusini kati ya 1880 na 1914.

Wasyria, Palestinians, Israelis na Lebanoni wa milimani waliondoka Mashariki ya Kati ya enzi utawala ya dola ya Uturuki ya Ottoman iliyokuwa mtawala wa nchi za Mashariki ya Kati, ili kutafuta fursa katika uchumi unaopanuka wa kibepari wa ulimwengu wa Atlantiki baada ya azimio la kukomeshwa utumwa pande za Marekani ya Kusini.

Kupitia uhamiaji wa vibarua, Wasyria waliendeleza uchumi wa kimataifa wa kutuma pesa nyumbani Mashariki ya Kati kwa mafanikio makubwa na kufanya uwekezaji pembezoni wa Bahari ya Mashariki ya Kiarabu.

Usafiri wa maji, mawasiliano ya telegrafu, na teknolojia za uchapishaji ziliwezesha kuanzishwa kwa "koloni" za Syria (jalliyyat) huko Argentina, Brazili, na Marekani. Wakiwa nje ya nchi, wahamiaji wa Syria walijenga taasisi za kijamii ambazo ziliunganisha Bahari ya Atlantiki ya Kiarabu katika mabara na kuunganisha diaspora na nchi yao ya asili.

Jumuiya za kidugu, vilabu vya uhisani, jumuiya za misaada ya pande zote, na vyombo vya habari vya Syria vya diaspora kila kimoja kilichangia katika nyanja hii mpya ya umma, na kuchangia mafanikio ya kibiashara ya Syria pia kuvutia hisia za Vijana ya Kituruki nchini Turkey kufanya mapinduzi kuondoa serikali ya kifalme ya Ottoman ya Uturuki 1908.
Soma zaidi : Between the Ottomans and the Entente: The First World War in the Syrian and Lebanese Diaspora, 1908–1925. Stacy D. Fahrenthold, Oxford University Press (2019).

Video hii hapa chini kuhusu Waarabu wa jamii ya Amerika ya Kusini ambayo wengi hawajui historia ya wimbi kubwa la kuhama toka Mashariki ya Kati hadi bara la Marekani ya Kusini, Swali walifikaje na kwanini watu wengi hawafahamu ? Leo tutajadili ugeni mkubwa wa Walevanti wa Waarabu wa Lebanon, Syria na Palestina katika nchi za kisasa za Amerika ya Kusini, na jinsi Mashariki ya Kati ina uhusiano wa kihistoria na nchi hizi nyingi, kutoka Chile na Brazil, hadi Honduras na Mexico.


View: https://m.youtube.com/watch?v=XQsR0sDaSU8
 
Bilionea kutoka asili ya Mashariki ya Kati ambaye babu zake walihamia Brazil latino America


View: https://m.youtube.com/watch?v=CwGIq7mclNk

Carlos Ghosn mzaliwa wa Brazil kutoka asili ya kiLebanon, injinia guru mkali wa (Hisabati) mathematics chuo kikuu baadaye kuwa mwokozi wa Renault ya Ufaransa kisha kunyakuliwa na kampuni za kijapani za Nissan na Mitsubishi ambapo alibatizwa jina la Bwana Punguzo la Gharama za Uendeshaji za Kampuni na kufanikiwa kuokoa kampuni kubwa kuanguka kibiashara ...

Michezo yake Carlos Ghosn kuunganisha makampuni makubwa ya uzalishaji dunia yaliyo na tamaduni tofauti za kiuendeshaji ilikuja kumkaba kama jinamizi la kutisha la ndoto usiku wa manane .....

1703370386164.png

Carlos Ghosn 'made enemies'​

Japan's media, who once feted Ghosn for his role in resurrecting Nissan and reviving the country's auto industry, also pounced.

The financial Nikkei daily noted he had failed to cut short his holiday when an inspection scandal at Nissan broke in 2017, and the Yomiuri Shimbun described Nissan executives calling Ghosn "greedy".

"He says the right things, but in the end it's all about money," the daily quoted employees as saying.

Corporate scandals are nothing new in Japan, but a case apparently centred on personal enrichment has left a bitter taste.

"Ghosn is a victim of his own hubris and success," said Jeff Kingston, director of Asian Studies at Temple University Japan.

Source : Star to fallen idol: The Japanese rise and fall of Carlos Ghosn
 
Wakristo wanaounga mkono Hamas ni wapuuzi na hawajielewi hawajui waislamu hawafadhiliki hata kidogo,utawaunga mkono leo kesho watakugeuka
 
Back
Top Bottom