Sasa wewe unaandika makorokoro gani hapa, sijui bado una kile kinachoitwa madrassat effect hata sikuelewi kabisa.Poyoyo kweli huyo, ujae nchi yenye shherua ba januni zao, halafu wewe ylazinishe zako za kiajabu ajabu, hata hujuwi umezitolea wapi.
. Ujinga huo.
Nguo ya heshima kwa mtizamo wa kiislam lkn wote hawawezi kuwa waislam, hilo halipo.Kwa msingi huo basi tuna mashaka pia na dini ya kikiristo kwamba inaamrisha wafuasi wake watembee uchi, wawe huru wavae wanavyotaka, tunaziona picha za mama maria mumeweka huko makanisani alivaa nguo za heshima (hijab) pia picha za yesu huko makanisani pia alivaa nguo za heshima sijuwi munakwama wapi mnavaa nguo za uchi alimradi mwende sambamba na nchi za magharibi na US ilhali Nabii yesu alitokea Middle East - Mashariki ya kati.
Wataturu mpaka kesho wanawake hutembea maziwa njeHakuna mwanamke yeyote anayeacha matiti yake wazi acha uongo bwana na umemuona wapi.
Sasa kama ndio mila yao wewe inakupa tabu gani si uhamie uarabuni nani kakulazimisha ukae hapa.Wataturu mpaka kesho wanawake hutembea maziwa nje
Suala hapa ni kufuata mila,nilisema mila za waafrika ni kutembea kifua wazi na kibwaya,ukadai siyo mila za waafrika,sasa waambie mama na shangazi zako watupe nguo wavae vibwaya na watoke vifua wazi tuone nidoSasa kama ndio mila yao wewe inakupa tabu gani si uhamie uarabuni nani kakulazimisha ukae hapa.
Kuwaelewa hawa watu inatakiwa uwe chizi kama wao hawaeleweki kwao hawataki hata ule wakiwa wamefunga wanaenda mbeya wanaanza kukataza watu kufuga nguruwe 🤣🤣🤣majamaa machizi haya 🙌🏿🙌🏿🙌🏿Halafu wewe unataka kuabudu kwa uhuru katika Nchi za Wakristo?!
Tena ukiletewa bugudha unaandamana na kushinikiza kuswali hadi mabarabarani🤨
Twende polepole, Kumbukumbu za nabii zinapoteaje mkuu wangu, kwanini hii kauli yako huitathmini, kwaiyo kama zimepotea vizazi vya sasa na vijavyo havitakuwa na lawama tena kwenye ibada, vyovyote watakavyofanya ni sawa maana kumbukumbu ndio zilipotea miongozo ishapotea kweli ni dini hiyo? kwanini hutafakari?Hakukuwa na rekodi za maandishi ndio maana kumbukumbu ya manabii wetu zilipotea lakini walikuwepo.
Mkuu samahan sana mada ilikuja kuhusu mavazi ya mwanamke, lakini hata ukitaka kuhusu mavazi ya mwanamme uislamu ni mpana sana dini yetu imefundisha pia vazi la mwanamme, katika uislamu hatuna haja ya kwenda China Beijing kudai haki za mwanamke wala mwanamme, mfumo wa maisha ya mwanadamu yoyote umjuae dini yetu ilikamilisha na tunayo hayo mafundisho kwenye Quran.Halafu ni kwa nini mavazi ya mwanamke tu je ya mwanamme mbona hamwongelei na hapo kwenye mavazi ndipo mlipoingizwa mkenge. Hakuna Mungu wa ukweli aliyewahi kuwaamulia wanadamu wavaeje, hizo ni propaganda za waarabu tu kudanganya wajinga kama nyie.
Twaongelea mavazi tu mkuu ndio mada, sasa kwanini hufuati mavazi yao? Ukitaka mjadala wa wao kuwa ni waislam ama la ni mjadala mwengine ukitaka tuhamie uko pia sawaNguo ya heshima kwa mtizamo wa kiislam lkn wote hawawezi kuwa waislam, hilo halipo.
Mila zao ? 😀 😀 😀 Huyo mwanamke ambaye ni mariah anavaa hijabu hata masanamu huoni huko kanisani kwenu !?Sasa kama ndio mila yao wewe inakupa tabu gani si uhamie uarabuni nani kakulazimisha ukae hapa.
Kati ya Ukristo na Uislam kuna dini moja sio ya Mungu muumba mbingu na nchi, nina hakika ni shetani alileta hiyo dini kupingana na Mungu. Haiwezekani Mungu 1 alete imani 2 tofauti na halafu zinapingana hadi kutengeneza uadui, haiwezekani.Mwambie Yemen ni nchi ya Kislam anataka kuishi kikristo aende Vatican au nchi za kikristo.
Kuna vijana wa Yemen wapo kariakoo hapo wanatoa huduma za mtandao pendwa mfano hakuna.Lakini huko yemen kula mirungi na kufira mbuzi ni jambo la kawaida sanaa
Vip wale wapumbafu wanao andamana Ujeruman wakitaka iman zao zishke atamu?Mwambie Yemen ni nchi ya Kislam anataka kuishi kikristo aende Vatican au nchi za kikristo.
Na Kwa nn hao wanataka haki za din zao zitambuliwe kama walivyo Fanya Ujeruman? Kama ni kwel USA ni secular kama tz nitajie Rais wa USA ambaye aliwahi kua muisilam kama hapa kwetu,mwinyi,JK,na Samia,au hata makamu wa RaisNani alikudanganya?
. USA ni secular kama Tanzania.
. Msidanganyane.