Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kipindi chote ambapo Marekani imekuwa taifa kubwa ushawishi wa wayahudi nchini humo umekuwa mkubwa. Ushawishi wa Marekani nao kutoka na nguvu za kiuchumi umeweza kudhibiti hata mawazo na tamaduni za nchi changa na zile zinazoendelea.
Madhehebu za dini ya kikristo zilizo katika nchi ya Marekani ambazo kwa kiasi kikubwa zimeingiliwa na mafunzo ya kiyahudi ndizo ambazo zimeweza kupenya kwenye nchi hizo changa nyingi zikiwa za kiafrika.
Tanzania ikiwa ni moja ya nchi za kiafrika nayo ina wakristo ambao akili zao zimetekwa nyara na fikra za kiyahudi kiasi kwamba wakristo hao huwa wanawaunga mkono Israel kwa kiasi kikubwa kila inapofanya unyama wake wa mauwaji na uporaji wa ardhi kule Palestina.
Ukweli ni kuwa wayahudi wanapokuwa Jerusalem alikozaliwa Yesu (nabii Issa A.s) huwa wanawabamiza wote sawa kwa sawa. Ukandamizaji huo umesababisha kutoweka kwa wakristo kwa kiasi kikubwa.Inapofika siku za krismas wakristo wa Palestina wanalalamika kutokuwa na watu kusherehekea ibada hiyo.
Waliobaki na nguvu ya kujitetea dhidi ya dhulma hizo ni waislamu zaidi .Inashangaza wakristo wasiojielewa huwa wanajiona na wao kama ni wayahudi na kuwa upande wa Israel.
Wakristo wengi wanaoungana na waislamu kuipinga Israel na kutetea maeneo yao wako nchi za Ulaya