Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Ninavyofahamu, Dubai ni jiji la "Kimataifa" lililopo katika nchi ya Kiislamu!
Wakristo wanaoishi huko wanapataje huduma za kiroho?
Kuna Makanisa? Kama yapo, ni ya madhehebu gani?
Ninavyofahamu, Dubai ni jiji la "Kimataifa" lililopo katika nchi ya Kiislamu!
Wakristo wanaoishi huko wanapataje huduma za kiroho?
Kuna Makanisa? Kama yapo, ni ya madhehebu gani?
Ukiwaruhusu walokole kule au madhehebu mengine ya Kikristu ni kujitakia matatizo tu maana hayo madhehebu tayari yana matatizo ya kutojitambua akili.Yapo ila ni ya kikatoric makanisa ya kirokole sidhani kama yanaweza kuruhusiwa kwenye nchi ile.
Wasabato wanasubiri RC ieneze injili wao waje nyuma kuipondea RC ili wavune kwenye kapu la RC,wasabato ni wana ujinga na upumbafu mwingi sana,wao ukatoliki ndio adui yao kuliko hata shetani.Wasabato hawapo huko Dubei ?
Maana wanajinadi sana kuwa ndio Kanisa la Kristo:
Sasa kama ni hivyo ni kwanini hawamtangazi Kristo huko Dubei ?
Na sisi ndi tunawategemea wao kueneza injiri sahihi:
Au bado wanaogopa na kuionea aibu injiri ?
Waione hii postWasabato wanasubiri RC ieneze injili wao waje nyuma kuipondea RC ili wavune kwenye kapu la RC,wasabato ni wana ujinga na upumbafu mwingi sana,wao ukatoliki ndio adui yao kuliko hata shetani.
Mpinga kristo ni yule asiyemtangaza kristo,unamwitaje RC mpinga kristo wakati ndio kanisa pekee linalofanya umishonari hadi maeneo hatari kabisa,ili kueneza injili.
Wasabato mjitafakari.
Wanaogopa kuutazama msalabaDubai Kuna makanisa ila hayaruhusiwi kuwa na msalaba kwa nje ya kanisa, misalaba yote inakuwa ndani ya kanisa