Wakristo wanapataje huduma za kiroho wakiwa Dubai?

Yapo ila ni ya kikatoric makanisa ya kirokole sidhani kama yanaweza kuruhusiwa kwenye nchi ile.
Ukiwaruhusu walokole kule au madhehebu mengine ya Kikristu ni kujitakia matatizo tu maana hayo madhehebu tayari yana matatizo ya kutojitambua akili.
 
Wasabato hawapo huko Dubei ?
Maana wanajinadi sana kuwa ndio Kanisa la Kristo:
Sasa kama ni hivyo ni kwanini hawamtangazi Kristo huko Dubei ?
Na sisi ndi tunawategemea wao kueneza injiri sahihi:
Au bado wanaogopa na kuionea aibu injiri ?
Wasabato wanasubiri RC ieneze injili wao waje nyuma kuipondea RC ili wavune kwenye kapu la RC,wasabato ni wana ujinga na upumbafu mwingi sana,wao ukatoliki ndio adui yao kuliko hata shetani.

Mpinga kristo ni yule asiyemtangaza kristo,unamwitaje RC mpinga kristo wakati ndio kanisa pekee linalofanya umishonari hadi maeneo hatari kabisa,ili kueneza injili.

Wasabato mjitafakari.
 
Waione hii post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…