Wakristo wanasemaje?

Kwa sheria ya ndoa hairuhusu kuoa au kuolewa na ndugu yako yaani damu moja!
 
kama hamna undugu wowote na mama wa ubatizo, then hamna kinachowazuia. oaga tu mwanawane
 
Mi nina chojua mama au baba wa ubatizo ni mtu yeyote ana weza akawa lakini awe ame batizwa.

Hivyo basi kama ni mtu siyo ndugu wa tumbo moja au ndugu yako una ruhusiwa kumuoa mtoto wake!

Mfano mimi mama yangu wa ubatizo alikuwa ni jirani yangu hivyo ni uhamuzi wangu kumuoa mwanae au lah lakini sivunji sheria.

Hapa kinacho angaliwa ni ndugu yako au lah!

Law off marriage hairuhusu ndugu kuoana.

Inawezekana kuoa na kufunga ndoa na mtoto wa mama wa ubatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…