T titomrina Member Joined Apr 3, 2012 Posts 10 Reaction score 0 Oct 16, 2012 #1 Inawezekana kuoa na kufunga ndoa na mtoto wa mama wa ubatizo?
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Oct 16, 2012 #2 Kwa sheria ya ndoa hairuhusu kuoa au kuolewa na ndugu yako yaani damu moja!
golwebo_mkuu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 2,270 Reaction score 693 Oct 16, 2012 #3 kama hamna undugu wowote na mama wa ubatizo, then hamna kinachowazuia. oaga tu mwanawane
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Oct 16, 2012 #4 Mi nina chojua mama au baba wa ubatizo ni mtu yeyote ana weza akawa lakini awe ame batizwa. Hivyo basi kama ni mtu siyo ndugu wa tumbo moja au ndugu yako una ruhusiwa kumuoa mtoto wake! Mfano mimi mama yangu wa ubatizo alikuwa ni jirani yangu hivyo ni uhamuzi wangu kumuoa mwanae au lah lakini sivunji sheria. Hapa kinacho angaliwa ni ndugu yako au lah! Law off marriage hairuhusu ndugu kuoana. titomrina said: Inawezekana kuoa na kufunga ndoa na mtoto wa mama wa ubatizo? Click to expand...
Mi nina chojua mama au baba wa ubatizo ni mtu yeyote ana weza akawa lakini awe ame batizwa. Hivyo basi kama ni mtu siyo ndugu wa tumbo moja au ndugu yako una ruhusiwa kumuoa mtoto wake! Mfano mimi mama yangu wa ubatizo alikuwa ni jirani yangu hivyo ni uhamuzi wangu kumuoa mwanae au lah lakini sivunji sheria. Hapa kinacho angaliwa ni ndugu yako au lah! Law off marriage hairuhusu ndugu kuoana. titomrina said: Inawezekana kuoa na kufunga ndoa na mtoto wa mama wa ubatizo? Click to expand...