Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

😅😅😅😅😅 Wakristo tunashindwa hata na walevi, wakimaliza kulewa wanabebana kwenye gari wanasambazana makwao.

Wakati sisi wakristo tukimaliza ibada wale wasio na magari hata lift hatuwapi, hata kama tunaishi mitaa inayofuatana line.

Jokes jokes msinisasambue wana kristo 😂
 
Kwanini waislamu wa Afrika kaskazini wanavuka bahari kwa mtumbwi kuingia Italy na Spain kwa makafiri na wasiende Saudi Arabia wakale bure?
 
Sasa hao hao Answar wanaenda mahospitalini na kutoa misaada ya vyakula na nguo bure

Kwangu mimi sadaka hiyo ina sauti kubwa kuliko sadaka ya Kinafiki

Kama ningekuwa Muislam ningekuwa Answar
Ulishawahi waona huko hospitalini au umehadithiwa?
 
Kuna watu makini sana JF, nakupa 5 ya nguvu. Ukristu ni upigaji, nilihama huko baada ya kuwa na mashaka na "ufufuko ". Mungu wa kweli anaweza kumtoa mwanae kafara kweli?
mpaka jinsia utahama.

ni swala la muda tu.
 
hizi aibu ndogo ndogo za kutotoa sadaka msizitafutie kisingizio.

mkristo yeyote wa RC,KKKT,SDA,nk anatoa sadaka kwa ajiri ya kukuza huduma za kiroho,kuhusu kusaidia masikini na wasiojiweza bado hakuna muislam anayeweza msogelea mkristo,tofauti yao ni kwamba muislam hutoa ahakikishe jirani yake kajua wakrsto hawako hivyo.
 
Acha uongo wewe, waislam wanatoa sana kuliko wakristo mfano watu wametoa huko juu kwenye huduma za maji
 
Acha uongo wewe, waislam wanatoa sana kuliko wakristo mfano watu wametoa huko juu kwenye huduma za maji
maji hutolewa awali kwa ajili ya msikiti ili waislam wanawe wakiwa wanaingia msikitini.
 

Ukristo una ubinafsi sana. Ubepari wa kiwango cha juu
 
Ukristo una ubinafsi sana. Ubepari wa kiwango cha juu
ndio maana kuna namba kubwa ya wakristo walio na maisha mazuri kuliko huko kwingine.

angalia maisha ya mamwinyi mikoa yote ilikopita hiyo dini,kunanuka shida.

tunaagizwa kusaidia watu ila sio kuwafanya wabweteke.
 
ndio maana kuna namba kubwa ya wakristo walio na maisha mazuri kuliko huko kwingine.

angalia maisha ya mamwinyi mikoa yote ilikopita hiyo dini,kunanuka shida.

tunaagizwa kusaidia watu ila sio kuwafanya wabweteke.
Tajiri namba moja tz ni dini gani?
 
mkuu tafuta pesa,usaidie watu kama ni rahisi namna hiyo.

wanaolipiwa ada wapo pia,ila sio kanisa ni mtu mmoja mmoja ndani ya kanisa.
Tutafute hela gani banaa, Kanisani uchwara mwingi waumini wanafundishwa kulijali kanisa kwa mapato yao lakini kanisa halina msaada kwa waumini wakati wa shida.
Nimechagua kutafuta pesa ndiyo ila nizikyle peke yangu na ulimwengu sio kupelekea wale wanafiki.

Nilichogundua hata wanaotoa saana huko hufanyaa kujijengea brand na kutafuta sifa ila ukimfata privately hana msada na wewe atakurefer kwa uongozi wakuombee🚮
 
mkuu hela inahitajika popote,hata huku nje ya kanisa,kama huna hela utachezea za uso sana.

haiwezekani watu watoe hela kanisani wewe ukachukue kwa njia ya kuomba msaada.
 
Twende mbele turud nyuma ukristo unazidi kua Kinyaa kadri siku zinavoenda hakuna dhehebu lililobaki salama kote ni takataka tu, labda kama wewe ni kipofu wa imani au kuna namna unanufaika.
 
Umewahi kuona waislam wanatoa kiasi gani?

Sadaka za msikitini pekee bado zinaingizwa kwenye kitobo ikimaanisha ni sadaka za sarafu.

Kwwnye maduka yao omba omba wakipita hupewa sarafu.

Mkristo ni mtoaji sana, sadaka ya siku moja au mara moja ni sawa na sadaka ya sarafu za waislamu mwaka mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…