Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

Wakristo utoaji unaonekana wazi Tena mkubwa kaangalie shule zilijengwa na wakristo kuanzia chekechea ,msingi Hadi sekondari na Hadi vyuo vikuu ili.kuondolea waumini ujinga na kuwapa elimu ya uhakika shule
ni mpaka utoe ada sio bure, ni miradi ya faida.

tena shule hizo huwa ni gharama mno, hata vyuo huwa ni gharama sana kuzidi vya serikali.

BIASHARA !
 
Twende mbele turud nyuma ukristo unazidi kua Kinyaa kadri siku zinavoenda hakuna dhehebu lililobaki salama kote ni takataka tu, labda kama wewe ni kipofu wa imani au kuna namna unanufaika.
hapana makanisa yanajengwa kila siku.

kanisa la RC peke yake linakusanya mawe kuanza ujenzi wa kanisa la kanda pwani,gharama za kanisa ni zaidi ya bilioni 20.

pumzi ikikata unakaa pembeni unaachana na riadha,hata kuna wanaume wameamua kuliwa baada ya kuona uanaume ni mgumu.sio ajabu.
 
ni mpaka utoe ada sio bure, ni miradi ya faida.

tena shule hizo huwa ni gharama mno, hata vyuo huwa ni gharama sana kuzidi vya serikali.

BIASHARA !
mkuu kuna mashirika ya misaada yapo chini ya makanisa.
ila kuna masharti ya kusaidiwa huko,mfano watoto yatima na wazee wasiojiweza.

wewe ukasome shule ya kanisa,bure sababu huwa unatoa sadaka elfu 2 kila misa?
 
Alipopata mtu msaada ndipo hupeleka sifa, atakuja mwingine kusifia makanisa maana kuna vyuo kadhaa vikuu vya kikristo na alisoma kwenye vyuo hivyo. Mwingine atasifu wakristo kwa utoaji wao wa kuwekeza kwenye huduma za jamii maana alitibiwa hospital ya rufaa ya kanisa..
 
Moyo wa kutoa hauhusiani na dini ya mtu, hapo tusidanganyane.

Kama unatoa misaada kulingana na dini ya mtu bac una matatizo.

Na Kama unapopokea msaada na kuwazia dini ya mtu aliyekupa msaada bac una tatizo pia.
 
Mtu unaeweza kumsaidi ni heri umsaidie tu,

Mchungaji account yake moja tu inasoma bilioni 8 anashindwaje kumsaidia mtu ambae ugonjwa wake unatibika hospitalini kwa milioni 1, yanakuwa maombi ya kinafki sana hayo,
Ni mchungaji wa kanisa gani huyo ambaye accout yake moja tu inasoma BILLION 8??????
 
Wakristo inatokana na neno kristo acha chuki zisizo na maana
Sasa hapo chuki Iko wapi,we mpumbavu nini!?..kamsikilize Nyerere akiongea na wazee wa dar anaposema mkiristu alikua yeye na Mara moja moja bomani wengine wote walikua waislam enzi za kusaka uhuru,kiswahili neno sharti liwe na irabu
 
kitu ambacho siwezi kuruhusu familia yangu itumie ni hizi nyama za kugawiwa BURE kutoka misikitini.

Nyama za Kafara
Ni ibada za kumwabudu shetani na mtu akila tu anakuwa amejiunganisha na madhabahu za shetani
 
Nchi zenye wakristo wengi mfano US na za ulaya na nchi zisizo za kikristo ni zipi zinatoa misaada mingi duniani?
Ni serikali huwa zinatoa misaada sio taasisi za kidini, pia nikujuze kwamba wakristo wengi hizo nchi huenda kanisani mara mbili tu mwaka mzima kwenye pasaka na christmas wakiwemo marais
 
Ni heri apelekwe India alipiwe matibabu yote mwishowe afariko au aombewe kwa jina la yesu apone, nikufungue kidogo ndgu yangu ni i...dunia ya leo magonjwa mengi ni ya kutengeneza kiuchawi ndio maana hayo yakiombewa yanapona ila magonjwa ya kweli kabisa by nature hayo ndio machache na ndio yanahitaji matibabu ya hospital, ko tuwe tunatofautisha hayo mambo mawili ukikosea mlango wa kutokea unakwisha habari yako! nb:- hakuna mchungaji anaeweza kuponya ugonjwa wowote wa asili! Ndio maana Kuna wenye visukari, ukimwi, kila akiombewa haponi tatzo sio Imani tatizo ni mlango wa kutatua changamoto yake sio huo!
 
ni mpaka utoe ada sio bure, ni miradi ya faida.

tena shule hizo huwa ni gharama mno, hata vyuo huwa ni gharama sana kuzidi vya serikali.

BIASHARA !
sasa ulitaka zitoe elimu bure? yaan kuzaa azae mwingine halafu kusomesha liwe jukumu la mwingine? ndo maana waafrika kiwango cha kutokujibika ni kikubwa sana maana watu wanapenda sana vya bure hawataki kujishuglisha na ndo maana hata kila mwaka bajeti ya serikali lazima ukute kuna wahisani kuchangia huduma za afya, elimu mpaka ujenzi vya vyoo kwa hisani wa watu wa marekani vyandarua kwa hisani ya watu wa marekani
 
Ni serikali huwa zinatoa misaada sio taasisi za kidini, pia nikujuze kwamba wakristo wengi hizo nchi huenda kanisani mara mbili tu mwaka mzima kwenye pasaka na christmas wakiwemo marais
Acha kupotosha hapa nikupe mfano tu germany ni sheria kwa mkristo kutoa sadaka ambayo inaingia serikalini na ndo hi misaada inayokuja afrika.
Kwa taarifa yako US kuna multinationals nyingi zinatoa pesa misaada kama sadaka kafuatilie historia ya colgate palmolive.
Kwa taarifa yako msingi wa uwajibikaji na utoaji ni fundisho katika ukristo na ndo maana nchi kama US wanaamini kwenye kuwajibika, kulipa kodi US ni taifa la kikristo kama ilivyo Germany au UK au Italy na wanatoa sana misaada mingi tu.
 
Ujerumani hio inaitwa church tax kwa lugha yao wanaiita Kirchensteuer , serikali ikishakusanya inaingiza kwenye account za makanisa kwajili ya matumizi ya makanisa, labda lugha inakupiga chenga ukadhani kwamba ikiingia serikalini inatumika na serikali, No ! haipo hivyo.

US, Ujerumani, Uk, Italy unazoziita ni nchi za kikristo huwa zinatoa misaada kupitia mapato wanayopata kwenye kodi za biashara walizohalilisha ikiwemo makampuni yanayotengeneza video za X (siku hizi zipo za wanaume wanafi*ana), hospitali zinazobadili jinsia, malaya wanaojiuza, n.k.

Enjoy somo safi bila ada, maumivu ya kichwa yakizidi kamuone daktari.
 
Licha ya kwamba waislamu wengi ni maskini ukilinganisha na wakristo
Hapana
Wakristo ndio jamii masikini kuliko waislamu hapa nchini
Nahizi hapa takwimu, sasa hii mikoa 7 kati ya kumi kuna kuna waislamu wengi kuliko wakristo?




 
Stupid as dumb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…