Wakristo wanawaita wayahudu makafiri na wayahudu wanawaita wakristo ni makafiri

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
4,177
Reaction score
4,887
Kwa mujibu wa wakristo wayahudu ni makafiri Kwa sababu wamemkana Mungu wao Yesu

Wayahudu Yesu hawafuati Maneno yake Wala hawamuamini tena wanamuita mtoto wa zinaa hivyo basi Myahudi yoyote mbele ya mkiristo ni kafiri kinyume na hapo basi wakristo hawajui wanachokifuata Wala wanacho kiamini Wala wanacho kiabudu

Na wayahudu wanawaita wakristo ni makafiri Kwa sababu huyo Yesu ambaye wakristo wanaamini kuwa ndio Mungu wao
Wayahudu walicheza naye kombolela katika mitaa ya Galilaya, walienda nae kisimani kuchota maji , walikuwa pamoja katika mambo ya kijamii kama misiba na harusi katika mji wa Jerusalem
Walipotokea wakristo na kumfanya ndio Mungu wakawaita makafiri

Yangu ni hayo tu
 
Kafiri ni mtu yeyote yule anayepinga uislamu au ambaye si muislamu.

Hata wewe mleta mada kama sio muislamu basi na wewe ni kafiri.
 
Kwa mujibu wa wakristo wayahudu ni makafiri Kwa sababu wamemkana Mungu wao Yesu

Wayahudu Yesu hawafuati Maneno yake Wala hawamuamini tena wanamuita mtoto wa zinaa hivyo basi Myahudi yoyote mbele ya mkiristo ni kafiri kinyume na hapo basi wakristo hawajui wanachokifuata Wala wanacho kiamini Wala wanacho kiabudu

Na wayahudu wanawaita wakristo ni makafiri Kwa sababu huyo Yesu ambaye wakristo wanaamini kuwa ndio Mungu wao
Wayahudu walicheza naye kombolela katika mitaa ya Galilaya, walienda nae kisimani kuchota maji , walikuwa pamoja katika mambo ya kijamii kama misiba na harusi katika mji wa Jerusalem
Walipotokea wakristo na kumfanya ndio Mungu wakawaita makafiri

Yangu ni hayo tu

Alaf Waislam wanawaita wote Wakristo na Wayahudi Makafiri.

Ajabu wameiba kila kitu kutoka kwenye dini za hao makafiri.
 
Kwa mujibu wa wakristo wayahudu ni makafiri Kwa sababu wamemkana Mungu wao Yesu

Wayahudu Yesu hawafuati Maneno yake Wala hawamuamini tena wanamuita mtoto wa zinaa hivyo basi Myahudi yoyote mbele ya mkiristo ni kafiri kinyume na hapo basi wakristo hawajui wanachokifuata Wala wanacho kiamini Wala wanacho kiabudu

Na wayahudu wanawaita wakristo ni makafiri Kwa sababu huyo Yesu ambaye wakristo wanaamini kuwa ndio Mungu wao
Wayahudu walicheza naye kombolela katika mitaa ya Galilaya, walienda nae kisimani kuchota maji , walikuwa pamoja katika mambo ya kijamii kama misiba na harusi katika mji wa Jerusalem
Walipotokea wakristo na kumfanya ndio Mungu wakawaita makafiri

Yangu ni hayo tu
Mkristu wa kweli hawezi kumuita mtu wa dini nyingine "kafiri". Hivyo ndivyo inavyokuwa katika dini ya Katoliki. Kanisa Katoliki hushughulika na kutangaza mema yake tu na siyo mabaya ya dini nyingine. Pamoja na kwamba kuna madhehebu yanayolivalia njuga kutangaza mabaya ya Kanisa Katoliki, lenyewe wala halijishughulishi kujibu madai hayo. Linajikita katikakutangaza mema yake tu.
 
Kwa mujibu wa wakristo wayahudu ni makafiri Kwa sababu wamemkana Mungu wao Yesu

Wayahudu Yesu hawafuati Maneno yake Wala hawamuamini tena wanamuita mtoto wa zinaa hivyo basi Myahudi yoyote mbele ya mkiristo ni kafiri kinyume na hapo basi wakristo hawajui wanachokifuata Wala wanacho kiamini Wala wanacho kiabudu

Na wayahudu wanawaita wakristo ni makafiri Kwa sababu huyo Yesu ambaye wakristo wanaamini kuwa ndio Mungu wao
Wayahudu walicheza naye kombolela katika mitaa ya Galilaya, walienda nae kisimani kuchota maji , walikuwa pamoja katika mambo ya kijamii kama misiba na harusi katika mji wa Jerusalem
Walipotokea wakristo na kumfanya ndio Mungu wakawaita makafiri

Yangu ni hayo tu
Muachage UONGO wa kupachikiwa maneno midomoni mwenu na islamists. Lengo la Islamists ni kuleta mgawanyiko na mifarakano baina ya Wakristo na Wayahudi ili wao wapate UUNGWAJI mkono wa kuangamiza Taifa la Israel na Wayahudi. Na kulingana na kitabu chao cha shetani, wakimalizana na Wayahudi wanaofuata ni Wakristo.
Ni hivi: wayahudi na Wakristo wote wanaamini ktk Ukombozi kupitia Messiah. Tofauti ilikuja tu kwenye timing. Wakristo kupitia Agano la Kale wakam identify Yesu kuwa Ndiye Messiah wakati Wayahudi wakasema bado hajaja. Makundi haya Mawili yako Tofauti kabisa na Maislamists ambao wao ni ANTICHRIST. Hawaamini ktk ukombozi kupitia Messiah.
Maislamists under the influence of lile Joka la zamani ( Ufunuo 12:9) wanaeneza uongo kwa kasi ya 5G
Na ukiona kuna Mkiristo anawaita Wayahudi ni Makafiri, ujue msimamo huo hauna basis toka kwenye Biblia bali ni baada ya Mkiristo huyo kuwa GASLIGHTED na Maislamists. Mtu mwingine anaye wachukia Wayahudi ni Pope especially Pope Francis aliyekufa. Na hiyo inajulikana ni kwa sababu adui mkubwa wa Wayahudi na ambaye alivunja Hekalu lao ni Utawala wa Roma. Utawala huo ulichukizwa na UASI wa Wayahudi dhidi ya Roma.
Msidanganye watu; nyakati hizo zimepita. Mpambane na hali yenu ya islam apostates wanaoacha uislam baada ya kujionea wenyewe UONGO wa kurani kupitia INTERNET. allah na paedophile wake Mohamed they're doomed
 
Wenzenu wanaendelea kufanikiwa ki uchumi nyie mmbaki kukariri MANENO Yale Yale Karne na Karne:
mtabaki hivyo hivyo
 
Kwa mujibu wa wakristo wayahudu ni makafiri Kwa sababu wamemkana Mungu wao Yesu

Wayahudu Yesu hawafuati Maneno yake Wala hawamuamini tena wanamuita mtoto wa zinaa hivyo basi Myahudi yoyote mbele ya mkiristo ni kafiri kinyume na hapo basi wakristo hawajui wanachokifuata Wala wanacho kiamini Wala wanacho kiabudu

Na wayahudu wanawaita wakristo ni makafiri Kwa sababu huyo Yesu ambaye wakristo wanaamini kuwa ndio Mungu wao
Wayahudu walicheza naye kombolela katika mitaa ya Galilaya, walienda nae kisimani kuchota maji , walikuwa pamoja katika mambo ya kijamii kama misiba na harusi katika mji wa Jerusalem
Walipotokea wakristo na kumfanya ndio Mungu wakawaita makafiri

Yangu ni hayo tu
Hizo dini mbili sidhani kama wana msamiati wa neno kafiri.
 
Back
Top Bottom