Wakristo wataka machinjio yao

muislamu kapewa mafunzo namna ya kuchinja ikiwa ni pamoja na adabu za kuchinja, na namna ya kum handle mnyama, mafunzo ambayo sijawahi kuyasikia kwa dini nyingine,
lakini inaweza ikawa ivo mkanjinja mkala wenyewe na sisi tukanjinja tukala yetu bucha zikawekewa nembo, na hata sehemu za nyama choma zitawekewa nembo pia kitu ambacho sidhani kama sahihi
 
Are you serious?
Basi kumbe maandiko yote yanafanana. Ndo maana huwa nahisi tofauti zetu ni za kimaslahi tu. Umenishangaza leo, manake na Bible inasema the same.
 
Napendekeza nchi igawanywe kuwe na nchi ya Wakristo peke yao na pia nchi ya Waislam peke yao. Mashariki/Pwani iwe ni nchi ya Waislam tu and the rest iwe sehemu ya Wakristo. Ni maoni yangu tu.
Nakubaliana na wewe Mkuu! na hii ndio njia bora ya kuukata huu mzizi wa fitna...ila Kigoma,Tabora na Singida nazo ziongezwe kuwa ni sehemu za Waislamu.
...nafikiri sisi ambao tuna maoni ya kuwa hi nchi igawanywe ni wakati wetu sasa wa kunyanyua sauti zetu!
 

nashukuru kwa shule hii, coz wapo Muslim wanaojifanya na msimamo mkali wanapindisha sheria au maandiko makusudi kabisa kwa maslahi yao binafsi. Asante kaka
 
hawa waislam mm huwa hata siwaelewi vizuri?? Hivi zile nyama za super market kama kuku na zile nyama za makopo wanajua ziliko toka?? Wanajua ni nani huwa anachinja na uchinjwaji wake huwa unakaaje?? Hivi mm bado sijajua ishu kubwa hapa ni nn?? Aina ya uchinjaji?? Mchinjaji au ni upofu wakifikra?? Mm naomba aje mwislam 1 anitoe tongotongo juu ya hili?? Je kwani wao wachinjapo ni nn hasa huwa wanakifanya ambacho wakristo hawakifanyi???
 
Mkuu mimi nimeangalia na suala la jiografia. Waislam waliopo Singida, Kigoma na Tabora nao itabidi wahamie Mashariki. Mfumo Kristo utakwisha.
 
nashukuru kwa shule hii, coz wapo Muslim wanaojifanya na msimamo mkali wanapindisha sheria au maandiko makusudi kabisa kwa maslahi yao binafsi. Asante kaka
Hujamuelewa!
Asili yake ni kuwa Muislamu anaruhusiwa kula kilichochinjwa na Wakristo na Mayahudi kama aya inavyosema katika surah al-maidah.
Tofauti ya rai inazuka kuhusu hawa Wakristo na Mayahudi wa wakati wetu huu, je ni sawa na wale wa wakati ule?
Kwa wale wanaona kuwa ni sawa basi wanakula! wakati kuna wanatofautisha kati ya wa zama hizi na zile hivyo hawawezi kula nyama iliyochinjwa na watu hawa.

Kwangu mimi rai ya ambao hawawatofautishi ninaiona kuwa ipo karibu na usahihi kuliko ya wanaotofautisha.
 
Mkuu mimi nimeangalia na suala la jiografia. Waislam waliopo Singida, Kigoma na Tabora nao itabidi wahamie Mashariki. Mfumo Kristo utakwisha.
Wawe huru kuhamia sehemu yoyote ile ya Waislamu! lakini ardhi za Kigoma,Tabora na Singida zibakie kuwa ni za Waislamu.

Halafu Waislamu waliopo sehemu za Wakristo wengi kama vile Mbeya na kwengineko watakuwa huru kuchagua wenyewe sehemu gani ya kuhamia katika sehemu za Waislamu.
 
Na vipi kuhusu mgawanyo wa rasilimali?
 
Napendekeza nchi igawanywe kuwe na nchi ya Wakristo peke yao na pia nchi ya Waislam peke yao. Mashariki/Pwani iwe ni nchi ya Waislam tu and the rest iwe sehemu ya Wakristo. Ni maoni yangu tu.
Maoni yako hayakubaliki
 
Maoni yako hayakubaliki
Mkuu! tunaokubaliana naye tumetoa sababu zetu.
Mfano ni gogoro kama hili; Wakristo wanataka machinjio yao Waislamu nasi tutaka idadi ya Wabunge iwe sawa.
Wakristo wataibuka tena na jingine Waislamu nasi tuna yetu...mwisho wa siku tutakuja kuchinjana! sasa ili kuukata huu mzizi wa fitna ndio tunapendekeza kuwa nchi igawanywe.

Hivyo ni juu yako wewe unayeyakataa maoni yetu haya utupe sababu za kufanya hivyo.
 
You people stop discussing nonsense, christians they rule in Spirit and not in physical...later manifestation will come on physical. Nashauri Hekima itumike kuliko sheria, haya yote ni matatizo ya serikali ya ccm kuingiza swala la udini na ukabila...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…