MNYISANZU
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 7,046
- 1,102
Nitajie mikoa ambayo Waislam wanapatikana kwa wingi ukilinganisha na Wakristo.Takwimu za sensa ya mwisho kufanyika inayoonyesha kipengele cha dini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie mikoa ambayo Waislam wanapatikana kwa wingi ukilinganisha na Wakristo.Takwimu za sensa ya mwisho kufanyika inayoonyesha kipengele cha dini.
Takwimu zozote nitakazokupatia zitakuwa sio officially.Nitajie mikoa ambayo Waislam wanapatikana kwa wingi ukilinganisha na Wakristo.
Ukiangalia kwa haraka haraka huwezi jua kitu kilichopo nyuma ya pazia lakini kuna vitu binaendelea juu ya imani kuonekana kama kunawalio na haki zaidi ya wengine japokuwa hakuna aya katika vitabu vya kiislam vinavyosema ikichinjwa na mkristu wasile
kenya vyakula vyote vina nembo ya HALAL FOOD sijui tanzania itaanza lini!hiyo ya wakristo itakua na nemboJ unhalal food
Hivi nguruwe anachinjwa machinjio gani?
Napendekeza nchi igawanywe kuwe na nchi ya Wakristo peke yao na pia nchi ya Waislam peke yao. Mashariki/Pwani iwe ni nchi ya Waislam tu and the rest iwe sehemu ya Wakristo. Ni maoni yangu tu.
Aisee hili suala ni tata kwa kweli,
Nakumbuka mwaka 2006 tulisafirisha msiba kutoka Morogoro mpaka Mbeya Wilayani Kyela sasa kule kwetu hakuna suala la kusema atafutwe Muislamu aje kuchinja nyama.
Tukafika msibani na maiti yetu sasa baada ya kuzika kuna chakula kilandaliwa kwa ajili ya wageni waliokuja na msiba.
Nyama ya ng'ombe, kuku kama kawaida, dereva wa gari tulilosafirisha msiba alikuwa ni Muislam na mama mmoja jirani yetu ni Muislam, si unajua lazima atafutwe jirani kwa ajili ya kusindikiza wafiwa. wakagoma kula kile chakula kwa sababu hawajui kuku kachinja nani na huyo ng'ombe ki ukweli tulipata shida ikizingatiwa tupo msibani lisaa limoja marehemu ndo kazikwa utamtafuta nani akaangaike kuandaa mboga nyingine ambayo siyo ya kitoweo, basi kilichofanyika pale yakatafutwa matoke (ndizi) wakachomewa ndo wakala bila mboga.
Saa nyingine imani ni nzuri kwako lakini vilevile ni usumbufu kwa wengine.
Ivi hii imekaaje? Wanaoruhusiwa kuchinja .ni maustadhi tu kwa nini?, hii ni ishu moja mbaya kabisa.
Aisee hili suala ni tata kwa kweli,
Nakumbuka mwaka 2006 tulisafirisha msiba kutoka Morogoro mpaka Mbeya Wilayani Kyela sasa kule kwetu hakuna suala la kusema atafutwe Muislamu aje kuchinja nyama.
Tukafika msibani na maiti yetu sasa baada ya kuzika kuna chakula kilandaliwa kwa ajili ya wageni waliokuja na msiba.
Nyama ya ng'ombe, kuku kama kawaida, dereva wa gari tulilosafirisha msiba alikuwa ni Muislam na mama mmoja jirani yetu ni Muislam, si unajua lazima atafutwe jirani kwa ajili ya kusindikiza wafiwa. wakagoma kula kile chakula kwa sababu hawajui kuku kachinja nani na huyo ng'ombe ki ukweli tulipata shida ikizingatiwa tupo msibani lisaa limoja marehemu ndo kazikwa utamtafuta nani akaangaike kuandaa mboga nyingine ambayo siyo ya kitoweo, basi kilichofanyika pale yakatafutwa matoke (ndizi) wakachomewa ndo wakala bila mboga.
Saa nyingine imani ni nzuri kwako lakini vilevile ni usumbufu kwa wengine.
Nguruwe huchinjwa machinjio mbalimbali hapa Tanzania na gwinginepo duniani!!
mkuu huo ni utaratibu wa zamani,siku hizi unachukua mkate unauloweka kwenye gongo(POMBE YA GONGO AU HATA KONYAGI),akisha kura analewa na unamchinja kiraisi sana!nguruwe hachinjwi bali anauawa ! Hupitia mateso mbali mbali kabla ya kuwa kitoweo !
Are you serious?
Basi kumbe maandiko yote yanafanana. Ndo maana huwa nahisi tofauti zetu ni za kimaslahi tu. Umenishangaza leo, manake na Bible inasema the same.
hawa waislam mm huwa hata siwaelewi vizuri?? Hivi zile nyama za super market kama kuku na zile nyama za makopo wanajua ziliko toka?? Wanajua ni nani huwa anachinja na uchinjwaji wake huwa unakaaje?? Hivi mm bado sijajua ishu kubwa hapa ni nn?? Aina ya uchinjaji?? Mchinjaji au ni upofu wakifikra?? Mm naomba aje mwislam 1 anitoe tongotongo juu ya hili?? Je kwani wao wachinjapo ni nn hasa huwa wanakifanya ambacho wakristo hawakifanyi???
Hujamuelewa!
Asili yake ni kuwa Muislamu anaruhusiwa kula kilichochinjwa na Wakristo na Mayahudi kama aya inavyosema katika surah al-maidah.
Tofauti ya rai inazuka kuhusu hawa Wakristo na Mayahudi wa wakati wetu huu, je ni sawa na wale wa wakati ule?
Kwa wale wanaona kuwa ni sawa basi wanakula! wakati kuna wanatofautisha kati ya wa zama hizi na zile hivyo hawawezi kula nyama iliyochinjwa na watu hawa.
Kwangu mimi rai ya ambao hawawatofautishi ninaiona kuwa ipo karibu na usahihi kuliko ya wanaotofautisha.