Wakristo wataka machinjio yao

Wakristo wataka machinjio yao

Nitajie mikoa ambayo Waislam wanapatikana kwa wingi ukilinganisha na Wakristo.
Takwimu zozote nitakazokupatia zitakuwa sio officially.

Kupata takwimu sahihi rejea sensa ya mwisho kufanyika ambayo iliambatanisha kipengele cha dini.
 
Aisee hili suala ni tata kwa kweli,

Nakumbuka mwaka 2006 tulisafirisha msiba kutoka Morogoro mpaka Mbeya Wilayani Kyela sasa kule kwetu hakuna suala la kusema atafutwe Muislamu aje kuchinja nyama.

Tukafika msibani na maiti yetu sasa baada ya kuzika kuna chakula kilandaliwa kwa ajili ya wageni waliokuja na msiba.

Nyama ya ng'ombe, kuku kama kawaida, dereva wa gari tulilosafirisha msiba alikuwa ni Muislam na mama mmoja jirani yetu ni Muislam, si unajua lazima atafutwe jirani kwa ajili ya kusindikiza wafiwa. wakagoma kula kile chakula kwa sababu hawajui kuku kachinja nani na huyo ng'ombe ki ukweli tulipata shida ikizingatiwa tupo msibani lisaa limoja marehemu ndo kazikwa utamtafuta nani akaangaike kuandaa mboga nyingine ambayo siyo ya kitoweo, basi kilichofanyika pale yakatafutwa matoke (ndizi) wakachomewa ndo wakala bila mboga.

Saa nyingine imani ni nzuri kwako lakini vilevile ni usumbufu kwa wengine.
 
Hii inatupotezea muda tu haina umuhimu yaelekea mtoa mada leo hana la maaana
 
toa povu lako ww..are sure na ulchoandika?:shut-mouth:
Ukiangalia kwa haraka haraka huwezi jua kitu kilichopo nyuma ya pazia lakini kuna vitu binaendelea juu ya imani kuonekana kama kunawalio na haki zaidi ya wengine japokuwa hakuna aya katika vitabu vya kiislam vinavyosema ikichinjwa na mkristu wasile
 
kenya vyakula vyote vina nembo ya HALAL FOOD sijui tanzania itaanza lini!hiyo ya wakristo itakua na nemboJ unhalal food

unaposema vyakula vyote unamaanisha hata sukari,sembe,mchele, maharage, njegere n.k navyo vina nembo ya HALAL FOOD?
 
Hivi nguruwe anachinjwa machinjio gani?

hili swala la kuchinja au butcha za King nk. hawakuweka Waislam wala Nyerere ni WAINGEREZA ndio walio weka kabla ya Uhuru.Dar.butcha zanguruwe zilikua 3 wakati huo pale MKURUMA...SAMORA..NA LUMUMBA..na machinjio yake ilikua Huko polini TABATA wakati huo..ili
o swali angeulizwa Qeen Elizabeth yeye anajua...na lMkriasto pia halikua harusiwi kuchinja Nyama. naha pale TANANYIKA PARKS visu vilikua yayari vina maandishi ya BISMILAH
 
Nashukuru sana kwa maoni yenu yaliyojaa udini na kuonesha chuki za wazi! Hata hivyo hakuna jipyaa!
 
Napendekeza nchi igawanywe kuwe na nchi ya Wakristo peke yao na pia nchi ya Waislam peke yao. Mashariki/Pwani iwe ni nchi ya Waislam tu and the rest iwe sehemu ya Wakristo. Ni maoni yangu tu.

Umesha yawasilisha kwenye kamati ya kukusanya maoni ya katiba mpya? ama ndio umeishia kuyatoa humuhumu jf? Peleka huko basi kama bado yakafanyiwe kazi.
 
ndo maana kuku wangu namaliza mwenyewe ...nafikiri labda tatzo ni kula kibudu(nyama mfu) ki2 ambacho kinahisiwa na islam
 
Aisee hili suala ni tata kwa kweli,

Nakumbuka mwaka 2006 tulisafirisha msiba kutoka Morogoro mpaka Mbeya Wilayani Kyela sasa kule kwetu hakuna suala la kusema atafutwe Muislamu aje kuchinja nyama.

Tukafika msibani na maiti yetu sasa baada ya kuzika kuna chakula kilandaliwa kwa ajili ya wageni waliokuja na msiba.

Nyama ya ng'ombe, kuku kama kawaida, dereva wa gari tulilosafirisha msiba alikuwa ni Muislam na mama mmoja jirani yetu ni Muislam, si unajua lazima atafutwe jirani kwa ajili ya kusindikiza wafiwa. wakagoma kula kile chakula kwa sababu hawajui kuku kachinja nani na huyo ng'ombe ki ukweli tulipata shida ikizingatiwa tupo msibani lisaa limoja marehemu ndo kazikwa utamtafuta nani akaangaike kuandaa mboga nyingine ambayo siyo ya kitoweo, basi kilichofanyika pale yakatafutwa matoke (ndizi) wakachomewa ndo wakala bila mboga.

Saa nyingine imani ni nzuri kwako lakini vilevile ni usumbufu kwa wengine.

Ndo maana Paulo alisema 'kuleni msiulize ulize!'
 
Kwa hiyo wewe uliyewatoa Moro na kuwapeleka huko porini hujawasumbua ila wamekusumbua wewe? Acha kuruka hatua mbili mbele nakurudi KUMI nyuma then unajipongeza wewe!
 
nguruwe hachinjwi bali anauawa ! Hupitia mateso mbali mbali kabla ya kuwa kitoweo !
mkuu huo ni utaratibu wa zamani,siku hizi unachukua mkate unauloweka kwenye gongo(POMBE YA GONGO AU HATA KONYAGI),akisha kura analewa na unamchinja kiraisi sana!
 
Are you serious?
Basi kumbe maandiko yote yanafanana. Ndo maana huwa nahisi tofauti zetu ni za kimaslahi tu. Umenishangaza leo, manake na Bible inasema the same.

haya yapatikana ndani ya mafundisho ya m/mungu na mafunzo ya mtume wetu s.a.w na pia naamini vitabu vyengine vya m/mungu yaani taurat,injili na zaburi vinafundisha the same.
 
hawa waislam mm huwa hata siwaelewi vizuri?? Hivi zile nyama za super market kama kuku na zile nyama za makopo wanajua ziliko toka?? Wanajua ni nani huwa anachinja na uchinjwaji wake huwa unakaaje?? Hivi mm bado sijajua ishu kubwa hapa ni nn?? Aina ya uchinjaji?? Mchinjaji au ni upofu wakifikra?? Mm naomba aje mwislam 1 anitoe tongotongo juu ya hili?? Je kwani wao wachinjapo ni nn hasa huwa wanakifanya ambacho wakristo hawakifanyi???

waislamu tukichinja tunataja jina la m/mungu hilo ndo tofauti kubwa ila pia ukichinja ww hakuna tabu nakula pitia comment zangu juu utaelewa na pia ningekuwa na uwezo ningewawekea maelezo ya wanazuoni wakubwa wa kiislamu naamini utata ungeisha.
 
Hujamuelewa!
Asili yake ni kuwa Muislamu anaruhusiwa kula kilichochinjwa na Wakristo na Mayahudi kama aya inavyosema katika surah al-maidah.
Tofauti ya rai inazuka kuhusu hawa Wakristo na Mayahudi wa wakati wetu huu, je ni sawa na wale wa wakati ule?
Kwa wale wanaona kuwa ni sawa basi wanakula! wakati kuna wanatofautisha kati ya wa zama hizi na zile hivyo hawawezi kula nyama iliyochinjwa na watu hawa.

Kwangu mimi rai ya ambao hawawatofautishi ninaiona kuwa ipo karibu na usahihi kuliko ya wanaotofautisha.

sawa kabisa ndugu yangu ushahidi uliowazi ni kwamba tofauti yao haihusishi masuala ya vichinjo pamoja na kuwepo rai za kusema hawa za hizi sio wale kwani hawa hawatumii vitabu halisi vya zamani wao wanatumia bibiria ambayo hawakutumia wale wa zama zile lakini aya hiyo haikusema walioamini au ambao hakuamini vitabu vya zamani wote Ahlu kitabu.
 
Ila ni weli bana tuanze kupewa na sie kuchinja kwani nani kahalalisha hawa jamaa wachinje peke yao???
 
Back
Top Bottom