Wakristo wengi wanaamini miujiza kuliko Mungu

Wakristo wengi wanaamini miujiza kuliko Mungu

Madiber

Member
Joined
Dec 9, 2019
Posts
65
Reaction score
77
Ukiangalia wakristo wengi wanaojazana kwa mwamposa, kiboko ya wachawi wengi hawatafuti kumjua Mungu na kuacha madhambi bali wanaenda kutafuta miujiza huku wachungaji wasio na miujiza wakikimbiwa.
 
Ukiangalia wakristo wengi wanaojazana kwa mwamposa,kiboko ya wachawi wengi hawatafuti kumjua Mungu na kuacha madhambi bali wanaenda kutafuta miujiza huku wachungaji wasio na miujiza wakikimbiwa.
Mungu mwenyewe wa Ukristo ni muujiza, hivyo ukishakubali Mungu wa Ukristo, umeshakubali miujiza automatically.

Na ukipinga miujiza, umepinga Mungu wa Ukristo automatically.

Huwezi kutenganisha Mungu wa Ukristo na miujiza.
 
Mkuu njoo pm nikufanyie maombi,,,,,,, kesho uamke shangazi kaja lako unalo wekea nguo limejaa pesaaa 🤒😎
 
We haupendi miujiza?
Mungu mwenyewe wa Ujristo ni muujiza, hivyo ukishakubali Mungu wa Ukristo, umeshakubali miujiza automatically.

Na ukipinga miujiza, umepinga Mungu wa Ukristo automatically.

Huwezi kutenganisha Mungu wa Ukristo na miujiza.
Sasa ukiangalia baadhi ya miujiza wanayofanya unaona ni usanii bora muda huo wangetumia kuwakataza watu dhambi
 
hakuna mchungaji wala mtumishi wa Mungu ambae anamiujiza watu wanashikwa akili tu!,uhalisia wa muujiza ni fikra tu huwezi unga mfupa kwa dakika moja! mifumo ya ulimwengu na duniani ina "in" na "out" zake ni ombwe lililoratibiwa kuwa na sheria zenye kiasi chake. akili kumkichwa.
 
Miugiza ni ya Mungu, ukiipenda unampenda anaeisababisha. Kwa mantiki hiyo unampenda Mungu.
 
Sasa ukiangalia baadhi ya miujiza wanayofanya unaona ni usanii bora muda huo wangetumia kuwakataza watu dhambi
Imani ya Mungu yenyewe ni usanii na muujiza.

Sasa unakatazaje usanii na muujiza mmoja na kuruhusu mwingine?
 
Na hiyo miugiza ni katika ulimwengu wa roho, ni kwa nini wasiende tu kwa waganga? Tuseme Mwamposa ni mganga konki anaetumia Biblia kiujanja.
 
Back
Top Bottom